Mgahawa unaofunguliwa saa 11:45 asubuhi kwa wanao vuka na pantoni kigamboni

DearJohn

Member
Mar 23, 2011
33
5
Mie Huwa ninafanya Shughuli zangu mjini usiku nakurudi nyumbani kwangu mapema sana alfajiri , kwakuwa nikitoka kazini nataka niweke kitu tumboni na kisha nimpumzike kwa uchovu wakazi. kuna mgahawa umefunguliwa maeneo ya tungi msikitini njia panda ya kwenda kisiwani. chai yao inakuwepo tokea saa 11:45 asubuhi pamoja na supu. hivyo hii ni faraja sana kwetu tunao vuka asubuhi asubuhi.
 
na sisi tunaotoka mjimwema ?na wanaotokea kisiwani washuke halafu walipie tena basi kufika fery.mie nilifikiri ferry ukishashuka kwenye daladala
 
Mie Huwa ninafanya Shughuli zangu mjini usiku nakurudi nyumbani kwangu mapema sana alfajiri , kwakuwa nikitoka kazini nataka niweke kitu tumboni na kisha nimpumzike kwa uchovu wakazi. kuna mgahawa umefunguliwa maeneo ya tungi msikitini njia panda ya kwenda kisiwani. chai yao inakuwepo tokea saa 11:45 asubuhi pamoja na supu. hivyo hii ni faraja sana kwetu tunao vuka asubuhi asubuhi.
Hili tangazo umelipia???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom