Jamani mimi nakaa madongo kuinama, naomba kupatiwa Link ya kuwa nasoma magazeti ya hapa Tanzania kila siku maana uku yanafika baada ya siku moja.
Naomba kuwasilsha.
Wadau wanaJF,
Dalili zipo wazi na kama kuna Mtanzania asiyeziona basi ana matatizo yake kwamba sasa ccm inaelekea kuzimu. Kwa mwenendo wa kisiasa ulivyo, sasa ni dhahiri kabisa kwamba miaka...
Nimesikia katika matangazo ya kuwa, GEPF ni mfuko wa watumishi Serikalini. Napata hofu na 'WAFANYAKAZI SERIKALINI'; kwani katika matangazo wanataka hata mama ntilie, wafanya biashara ndogo ndogo...
Katika gazeti la The African la leo (Jumapili) kuna tangazo Uk wa 2 kwamba gazeti hilo linafungwa kuanzia Jumanne ijayo tarehe 1 May. Tangazo linasema linafungwa kupisha maandalizi ya...
Jamani hawa airtel ni wezi wane amua
Kutuibia kwa ujanja yani nimeweka bandle ya MB 400 nime download nyimbo mbili zenye mb 7 Kila moja nangalia salio zimebaki MB 80 kwakweli hawatutendei haki.
Ni ukweli usiopingika kuwa wakazi wa jiji la Dar Es Salaam ndo wanaokwamisha mageuzi ya kweli hapa Tanzania kwani Dar kila mtu anajifanya yuko bize na mambo yake eti wanatafuta hela! Kwani mikoani...
Tukishampa nchi 2015 (japo tunaweza hata kesho), atawafanyaje watu hawa!
Wenye majumba ya thamani hali jirani zao wanalala nje!
Wenye kumiliki magari makali hali jirani zao hawana uwezo wa...
:frusty:
JAN
24
Dolly Estate - Whites only please!
Apart from the servants of course:
The Invisible Man!
In addition to being the most inherently racist place in Arusha Dolly Estate is...
Toka nizaliwe nimekuta nchi yangu ikiitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nikifirkiria sana kuona kama ni sawa au la. Mi nilidhani Kuwa Nchi hii ingeitwa Jamhuri ya Muungano wa...
watnzania tunapaswa tuwe makini nahawa mafisaDI WANAOTUDHULUMU mali zetu kwa kutumia nafasi ya madaraka yao waliyoyapata kwa hila na dhuluma.bila kujali maslahi ya wananchi wamekuwa...
Nimeona kupitia vyombo vya habari taarifa kuhusu mauaji ya kiongozi wa chadema huko Arusha, ni jambo la kusikitisha sana ndani ya taifa tunaloliita kisiwa cha amani kufikia hatua ya kuuwana sababu...
Mnamo tar 25/04/2012 majira ya jioni basi la kampuni ya championi lililokuwa linafanya safari kutoka Dar kuelekea Mwanza lilipata ajali mbele kidogo ya mji wa singida na watu waliumia na...
Wakuu,kuna mdada anaitwa Leah,toka Sumbawanga,ni mzaliwa Wa Iringa ana miaka 14 anahojiwa Jumaa Kisika wa RFA,Ukweli kuhusu Fri masonry na alikuwa memba wa haya madude.Bt aliokoka cku ya J5 ktk...
:frusty:
JAN
24
Dolly Estate - Whites only please!
Apart from the servants of course:
The Invisible Man!
In addition to being the most inherently racist place in Arusha Dolly Estate is...
Habari nilizonazo ni kwmb bus hili la Costline Bus Service imepata ajali mbaya hapo kijiji cha Sukuro ktkt kabisa ya Wilaya ya Simanjiro na kijiji cha Ndidu na mpk sasa hbr nilizonazo toka kwa...
Habari zenu wanajamii.
Nimejitokeza kwenye mtandao wetu wa kijamii, nimekuwa nina ujenzi wangu huu mwaka wa nne sasa nimefikia hatua ya kupaua bati tayari ninazo hitaji langu kubwa ni mbao za...