Member wa Fri masonry,haojiwa Sumbawanga TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Member wa Fri masonry,haojiwa Sumbawanga TV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Godwishes, Apr 28, 2012.

 1. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Wakuu,kuna mdada anaitwa Leah,toka Sumbawanga,ni mzaliwa Wa Iringa ana miaka 14 anahojiwa Jumaa Kisika wa RFA,Ukweli kuhusu Fri masonry na alikuwa memba wa haya madude.Bt aliokoka cku ya J5 ktk kanisa la EAGT.Anatoa ukweli walivyokuwa wakifanya.Na mada inaendelea wiki ijayo akiendelea kuhojiwa mda saa2 .30 usku,akidai kuwa hii ishu ilianzia Marekan .Dsm ni makao makuu na Swanga Fri masonry wapo kibao.Bahati mbaya yeye ni maskini na amesema wanakula nyama za watu. anaonyesha chata mbali mbali za mizimu,kama sahihi ya rusifa,fri masonry,nyingne zko sehemu nyeti.alama kama 606 mwilin na anadai yeye alikuwa wazir mku wa TZ.Fuatilia kipindi kjacho
   
 2. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mh! kwa sasa kila kitu hapa tz kinahusishwa na hayo mambo. kuna mwingine alikuwa nahojiwa clouds nae ana alama aliyowekewa mguuni huko south africa. kazi ipo kweli. Inabidi tumuombe Mungu kwa nguvu atuokoe na hay amambo
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,316
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 180
  Mkuu freemasonry uliyoitaja hapo ndio hii hii freemason au ni nyingine?

   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe ipo Sumbawanga TV? Freemasony au? Huyo atakuwa mlozi wa kawaida tu kisha kaamua kuokoka.
   
 5. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135  Unga tu huo!
   
 6. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Upumbavu mtupu hebu 2jadili mambo ya msingi mara freemason macapitalist wakubwa sasa huyo kabwela nae imekuaje labda aseme alikuwa gagula italeta picha
   
 7. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ndo iyo iyo mku.Jst typing error.
   
 8. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ipo mkuu,sometyms wanaibia TBC maisha yanasonga.Kuna na redio Chemichemi.
   
 9. Nding'oli

  Nding'oli Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyo mtoto anatafuta kutambulika tu kanisani. Alichosema juu ya Freemason ni uongo na hadithi ya kufikirika ili Wachovu wa kufikiri yaani wale waliokaa kanisani wakisubiri isemwe bwana asifiwe, nao wapige kelele za amen. Jamani someni Habari za watu hao wanaoitwa Freemason katika maandiko, yako katika net kwa kina sana. Makao makuu katika east africa yako Kenya, Sumbawanga inawezekana wako Wanga wengine walawatu na wala sio Freemason. Sana sana freemasons kwa TZ wako Dar na kidogo arusha na mwanza. Mtoto Huyo anazungumzia wachawi walawatu na sio Freemasons. Tusipoteze muda kufuatilia hoja ya mtoto Huyo kwa kuhusisha na Freemasons. Kwanza hajui hata Freemasons ni nini.
   
 10. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ina maana huyo mwandishi hana ABC za Freemasonry kweli? Wameanza lini kula nyama za watu?

  Ujinga ni Mzigo!
   
 11. +255

  +255 JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Mbona mwandishi haujaeleweka mara anahojiwa Sumbawanga TV mara na Juma Kisika wa RFA..!
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  hata ATN nao walimhoji aliyekuwa Freemason, kweli sasa ni kumuomba MUNGU kwani kila mtu antokea huko huko na sio kwenye 606 bali ni 666
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  mwanga tu huyo hakuna cha fri mansory wala freemansory
   
 14. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  BORA UMASIKINI WA KIPATO KULIKO UMASIKINI WA AKILI.

  WATANZANIA TUNA VYOTE, UMASIKINI WA KIPATO NA UMASIKINI WA AKILI.

  Kila kitu Freemason, kwanza ni muongo, historia ya freemasons inaanzia kwenye ukoo wa kifalme/Malkia wa Uingereza, na inasemekana ni society iliyokuwepo tangu kabla ya kuja kwa Yesu, na ina run back kwenye ujenzi wa hekalu la mfalme Selemani.

  King Solomon's Temple
   
 15. next

  next JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  tatizo sku iz ata wachawi wanajiita freemason
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ooh...oooh!!...haya, kama kawaida yetu kukuza vitu hata visivyo vya msingi.
   
 17. M

  Murrah Senior Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Free mason wanawake hawarusiwe kwa vyovyote vile, kabla ya kuwasilisha mada kama hii fanya reseach usikubali mada toka kwenye magazeti ya Shingogo na backing to kwa waumini wa Madhehebu ya ajabu ambayo hayafuati maandiko ya Mungu. Anaglieni watu wasiwadanganye wengu watakuja kwa jina lake
   
 18. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ngoja kwanza nije
   
 19. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kila kitu siku hizo kinahusishwa na huu upuuzi aaarggghhh sijui lini tutaacha kulimbukia mambo.
  hapo hilo kanisa washapaa ubunifu wa kuvuta watu,eti alikua waziri mkuu wajinga wataamini na kuliwa sana.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi ukiwa freemason unakuwa tofauti na binadamu wengine?

  Au unakuwa na nini ambacho binadamu wengine hawana? Unakuwa hujambi? Huendi haja kubwa na ndogo?
   
Loading...