Sikiliza mechi kati ya Simba na Wasudan Live

Sikiliza mechi kati ya Simba na Wasudan Live

Duh!! asante sana mkuu nimeshatafuta sana nikakosa sasa nimepta
 
Bofya hapa upate matangazo ya moja kwa moja toka uwanja wa taifa Kissfm Mwanza[/QUOTE
usiwe mvivu wa kufikilia au kutumia akili yako ndogo uliyokuwa nayo ww unatutumia mambo ya mpira wakati hapa ni sehemu ya siasa!!!!!!!!!!!!!!
 
Ngapi ngapi wengine hatuna sipika tuko cafe ha ha ha!
 
safi sana mnyama... wacha wazee wa "maugo" waendelee kufuga hirizi
 
Back
Top Bottom