The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 213
Toka nizaliwe nimekuta nchi yangu ikiitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nikifirkiria sana kuona kama ni sawa au la. Mi nilidhani Kuwa Nchi hii ingeitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwani si muungano wa Tanzania. Na wala hili si ajabu ukichukulia mfano wa Serbia na Montenegro na nchi nyinginezo.