Siasa za Tanzania zinatupeleka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za Tanzania zinatupeleka wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GREAT PJM, Apr 29, 2012.

 1. G

  GREAT PJM New Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeona kupitia vyombo vya habari taarifa kuhusu mauaji ya kiongozi wa chadema huko Arusha, ni jambo la kusikitisha sana ndani ya taifa tunaloliita kisiwa cha amani kufikia hatua ya kuuwana sababu ya tofauti za kiitikadi! Naomba maoni yenu tunaelekea wapi na siasa zetu za Tanzania kisiwa cha amani inayo toweka!
   
 2. JingalaFalsafa

  JingalaFalsafa JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Bepari magharibi kwake shangwe tu, ni mipango yao. Nasi ni uzembe wa kuogopa kula ugali nyumbani, na kukimbilia utumwani tulikohaidiwa wali na tambi, tunalishwa pumba sasa. Lakini, Mungu wetu yu tayari kutushindia, anaita sasa.
   
Loading...