Ajali mbaya ya Bus ya Costline hapo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali mbaya ya Bus ya Costline hapo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Apr 28, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Habari nilizonazo ni kwmb bus hili la Costline Bus Service imepata ajali mbaya hapo kijiji cha Sukuro ktkt kabisa ya Wilaya ya Simanjiro na kijiji cha Ndidu na mpk sasa hbr nilizonazo toka kwa Kaka yangu aliyenusurika ni kwamba watu wawili wamepoteza maisha!

  Ntarudi baada ya!
   
 2. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Oooaisee!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  poleni wahanga. lakin hizi ajali zitaendelea kutumaliza hadi lini?je kuna nia thabiti ya kutaka kuzionda kabisa au ni fiksi tu kila siku?
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mhoji bro wako akueleze chanzo cha ajali ni nini? RIP marehemu wote na Mungu awape tahafitu majeruhi wote.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Chanzo cha habari inayonijuza inasema ya kwamba ni stalring road ndiyo ilikatika na ndipo basi likaacha njia na kugonga mti aina ya Olndevesi na bado wanamsifu driver kwa jitihada binafsi aliyonyesha na majeruhi na hata marehemu wamepelewa ktk hosptal ya Terati.
  Ninaendelea kudodosa yanayojiri na nitawajuza wadau wenzangu wa JF!

  MUNGU akawaponye majeruhi na hata wale waliokufa nazidi kusema wote walale kwa AMANI ya MUNGU wetu aliye hai na hata sasa!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Kiongozi Mi nahisi hamna namna ya kutokomeza ajali hz zaidi ya ngonjera ya serikali tawala kubwabwaja kila leo!

  Hii serikali haina mbinu tena!
  Kwisha kabisa!
   
 7. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Haya mabasi ya coast line cmanjiro yanaitwa ndege ya ardhini. Yana speed hata kupita magari madogo kwenye hizi rough roads.
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  LiverpoolFC shukran kwa taarifa
  duh hatari sana @ MARCKO you are right dude!
  Usafiri wetu huu jamani!
  Dah! Mungu atunusuru na ajali za kila siku. Na kwa waliotangulia mbele za haki RIP, Amen
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huwaga ile kampuni ina basi mbili zinazofuatana ktk njia ile ya Arusha to Kiteto. Sasa ile iliyopata ajali inatokaga saa kumi na moja alfajiri na ile ya pili inatoka hapa A town saa mbili kamili asubuhi na mpk sasa ninapochat ile basi la pili imeshafika eneo la tukio na imeshawapakia wale wote wanaoendelea na safari ya kuelekea Kiteto na hata wale wote wanaofika mpk Dodoma kwn hili la pili inapitilizaga mpaka Dodoma!

  Na hata wale majeruhi wote waliokimbizwa pale mji ndogo wa Terati nao wale wote wenye auheni wamerudi kuendelea na safari yao na hata MUNGU akawatangulie na hili balaa la ajali kwa watu wasio na hatia MUNGU wangu!

  Haya nimeyapata kupitia waliolengwa na ajali ya leo!

  Amini usiamini lakini hakuna chombo cha hbr kitakachopita Jamiiforums.com

  Viva tena Jf!
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi wadau hii ajali

  ilitangazwa na vyombo

  vingine vya hbr ama imegota

  hapa kwetu JF tu????

  Ama serikali tawala inazidi kujidhihirisha kuwa zigo kwa wanainchi.
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimeiona ripioti ya CAG kuhusu ajali za barabarani, na anasema kuwa askari wa usalama barabara wanatumia nguvu nyingi sana kushughulia mambo ambayo yanasababisha ajali kwa asilimia 25 tu. haya ni yale mambo ambayo yanawawezesha wao kupata rushwa kutoka kwa madereva na wanaacha yale ambayo ndiyo hasa yanasababisha asilimia 75 ya ajali zote. Inasikitisha sana
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hii inasikitisha sana wajameni!

  Serikali ni dhahiri hatuna kbs!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  serikali inakuambia suluhisho ni kubadili leseni hapo ndo walipoumiza akili na wakaligundua hilo sasa cjui kama kweli yetu macho kama ajali zitatuponya!
   
 14. z

  zorilla Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata zinazokwenda Musoma zinaitwa hivyo,huenda mmiliki ndiyo ka wa order hivyo madereva,kungekuwa na uwezekano wa ku avoid kusafiri na hizo bus-ndiyo ajali haina kinga ila kunazingine zinasababishwa na u care less wa madereva
   
Loading...