GEPF ni nini?

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,210
Nimesikia katika matangazo ya kuwa, GEPF ni mfuko wa watumishi Serikalini. Napata hofu na 'WAFANYAKAZI SERIKALINI'; kwani katika matangazo wanataka hata mama ntilie, wafanya biashara ndogo ndogo n.k waweke akiba. Swali; je hao ni watumishi serikalini? Nahisi isije ikawa usanii na utapeli kama ule wa NICOL......
 
Je mama ntilie, machinga n.k ni wafanyakazi serikalini??? Mbona wanaalikwa kuweka akiba??
 
Back
Top Bottom