Kulikoni basi la CHAMPION, La mwanza

Emmanuel_mtui

Member
Apr 10, 2012
56
13
Mnamo tar 25/04/2012 majira ya jioni basi la kampuni ya championi lililokuwa linafanya safari kutoka Dar kuelekea Mwanza lilipata ajali mbele kidogo ya mji wa singida na watu waliumia na inasemekana mmoja alipoteza maisha eneo la ajali na mwingine ktk hospitali ya mkoa, sasa kubwa kuliko ni pale dereva aliyesababisha ajali alivyomaliza mambo na polisi kishkaji? Jee waathirika wanaweza kupata haki zao kweli kwa hali hiii,,,,
 
Siku ya kupanda hilo basi labda kusiwe na magari kabisa na nmeshindwa kutembea kwa miguu, maana kuna siku nitoka nalo moshi kuja dodoma nahisi ile haikuwa spidi ya gari labda JET
 
Back
Top Bottom