Gazeti la The African lafungwa kuanzia Mei mosi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la The African lafungwa kuanzia Mei mosi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Apr 29, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katika gazeti la The African la leo (Jumapili) kuna tangazo Uk wa 2 kwamba gazeti hilo linafungwa kuanzia Jumanne ijayo tarehe 1 May. Tangazo linasema linafungwa kupisha maandalizi ya kulianzisha tena kuwa la kila wiki, mwanzoni mwa Juni.

  Jamaa yangu hapo New Habari kaniambia kuwa gazeti jipya linatarajiwa kushindana na The East African linalochapishwa na Nation Media Group. Anasema lengo hili linaweza likawa dhihaka kwani hakutarajiwi kuwepo uwekezaji wowote katika maandalizi hayo. Quality journalism needs investment.

  Jamaa yangu huyo ananieleza kwamba baadhi ya wahariri na waandishi wanaamini kabisa hii ni namna tu ya kulifunga gazeti hilo moja kwa moja kwani limeshindwa kujiendesha kutokana na ukosefu wa waandishi/wahariri experienced na usambazaji wake kuwa mbovu.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  The African liipiku The East African? Bila uwekezaji? Hivi kweli mnakijua kinachoendelea pale New Habari? Mishahara huwa nyuma miezi 2 - 4?

  Wanachekesha hawa! Au ndiyo Prince Bagenda at work -- maana pengine kapelekwa pale kwa lengo moja tu -- kuimaliza New Habari ki-aina!
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  The East African comes from a Giant Media house in East and Central Africa!!

  Hako kagazeti hakawezi battle na The E. A katika market kamwe!!
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  R.I.P. The African!
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,780
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha ha! Animo et Fide!

  Wanachi hao hao uwaibie (ufisadi), uwadhihaki, halafu ukajiuze kwao. Inawezekana kweli? Rest in Hell (R.I.H) kwa upumbavu wako mwenyewe.
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  The African :rip:
   
 7. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna kijigazeti chochote cha hapo Sinza madukani (New Habari Corporation) kinaweza kujidai kutawala soko la magazeti hapa bongo? Ndio wajidai kushindana na The East African?

  Rest in Hell (RIH) the whole New Habari Corporation.
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Roast In Pain!!
   
 9. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Issue ni Prince Bagenda amehamia hapo kuna mgogoro. Hataki CCM iandikwe!!!!!!!!!!
   
 10. C

  Chipolopolo JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Inasikitisha....
   
 11. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hili ni la Rostam, lifungwe tu.
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,812
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  wabongo bana!!!!!!!!!!simba imeshinda 3-0 sina mchango kwenye mada husika iam sorry!!
   
 13. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  suffer in hell the african
   
 14. A

  Antar bin Shaddad JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wacha lifungwe halikuwa na mchango wowote katika tasnia ya habari zaidi ya kuandika uzandiki wa kuwashambulia baadhi ya viongozi wa upinzani pia kama yalivyo magazeti mengine ya habari corp ambayo hayana maadili yoyote yanayosimamia vyombo vya habari
   
 15. a

  ashakum Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi huyo Rost Tamu atakamatwa lini kwa ufisadi papa?
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  RA kishaanza kufunga miradi yake tanzania,kahamia malaysia
   
 17. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Magazeti ya bwana Fisadi Rostitamu
   
 18. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 672
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
  bado vijarida vya tazama,kiu,sauti huru,jambo leo na vyote vyenye mrengo wa kifisadi,kiama chao is around the corner.
   
 19. M

  Mbiha Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Hahaha, labda lakini kwa aina ya management iliyoko sijui, tuwatakie kila la kheri.
   
Loading...