Naomba msaada nitakapopata mbao za trited | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada nitakapopata mbao za trited

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ALF, Mar 22, 2012.

 1. ALF

  ALF JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Habari zenu wanajamii.

  Nimejitokeza kwenye mtandao wetu wa kijamii, nimekuwa nina ujenzi wangu huu mwaka wa nne sasa nimefikia hatua ya kupaua bati tayari ninazo hitaji langu kubwa ni mbao za trited za 4X4 ya FT 18 na 20 PC 200 na uwezo wangu ni 2,000,000 tu naweza kupata. Nipo D.S.M
   
 2. m

  macinkus JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 260
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mbao trited ndio mbao gani? Kama una maana zilizowekwa sumu zisi "liwe" na wadudu, neno ni "treated" sio trited. Nenda Mandela, Buguruni.
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  2M kwa mbao hizo huwezi pata pc 200
   
 4. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nipigie kwa my number around juma tatu tutajadili hilo ofisi yangu ipo wazi buguruni....hata shamba tunafata
   
 5. m

  mafinga kwetu Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unamaanisha 2x4? Kama ndio nicheki kwa no. O755556808
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Buguruni zipo nyingi, tahadhari kuna vibaka wa mbao wa kukata na shoka.
   
 7. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  habari ni nzuri, kwanza hongera kwa kufanya ujenzi, lakini naona kuna taarifa ambazo hazipo sahihi au zinakosekana mfano mbao za 4x4 kwa ujenzi wa nyumba za kawaida hazitumiki, zinazotumika ni 2x4, 2x2, 2x3 au 2x6 hivyo vipimo vyote ni inchi, pia kuna kuna sehemu umesema ni PC 200 mimi nadhani hapo ni ulitaka kusema jumla ya urefu wa hizo mbao unazohitaji yaani' running meter 200'. Kwa sababu ukisema unahitaji PC 200 zenye urefu wa ft 20 ni sawa na kusema unahitaji ft 20x200 = 4000ft = 1219.2m kitu ambacho kinatia wasi wasi au labda jumba lako kubwa sana, au unataka uchukue mbao hizo 2x4 ili baadaye uchane upate na za 2x2, kwa bei ya sasa ubao wa 2x4 ni tshs 2,600/= kwa mita, sasa mahitaji yako 200PCS za 20ft sawa na 4000ft =1219.2m itakuwa ni sawa na 1219,2x2600 = TZS 3,169,920.00 bado usafiri, lakini hizi mbao za treate zipo maeneo mengi ila zinapatikana sana Buguruni ila ni vema uende na fundi wako kwa sababu kwa sasa kuna usanii mwingi sana kuna watu wanapaka rangi ya ukili harafu wanasema ni treated, lakini kama budget yako itaburst unaweza chukua za kawaida ukapaka oil au dudu killa maalamu kwa ajili ya mbao kwani ukishaweka ceiling board hakuna mtu anaweza kujua kama umeweka treated timber au la.
   
 8. B

  BARRY JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  ni PM nitakupa dogo ukamweleze unachotaka na lazima atakusaidia hata kama hutanunua kwetu, maana yeye nimemkabidhi hizo kazi kwa miaka sasa.


   
Loading...