Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Did you know about this?
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Usiku wa jumamosi wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wamevamiwa na majambazi waliokuwa na silaha na kuporwa vitu mbali mbali vya thamani kama vile simu, laptop, fedha, viatu na nguo. Kwa taarifa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mrithi wa shekh yahya na ambae ni mtoto wake amesema kuwa mwaka huu kuna mawaziri watakufa ghafla,na pia kuna viongozi wakubwa wa kidini watafanya mambo ya ajabu ambayo yatawadhalilisha na...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
NB: This is in American Society but still we can do comparison with what is going on in our country Tanzania. 10. Single Parent HouseholdsThe problems begin at home. Since the 1950s, the number...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When she met the Queen and Prince Philip at a garden party in Western Australia late last year Gina Rinehart became a figure of fun when the Duke pointed to her large hat and said she might poke...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumbe hata wakuu wa nchi wanatambuwa kuwa Jeshi letu la Polisi Tanzania ni la walarushwa kwani haingii akilini hata mala moja pale ambapo Waziri mkuu anaona ni bora kutumia Jeshi la wananchi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika hali ya kuonyesha kuwa Afisa Habari wake amekuwa mwiba, Ofisi ya Taifa ya Taifa ya Takwimu ambayo inategemea Agosti 26 mwaka huu kufanya zoezi la Sensa ya watu na makazi nchi nzima...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii nimeona ni kali kuliko zote sijui mhandisi wa hii barabara kasomea wapi au ndo wale wahandisi wa kuunga unga maana direction ya hii kibao ilivyoweka hakuna aliyeakua anajari kama vile kiko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mbunge wa kasulu mjini nimemtafuta google, kwa jamaa, mitandao ya kijamii kote hakuna mwenye contact zake. tafadhari nitumie kupitia namba 0712507217 au techno.cycle@yahoo.com nipatie contact info...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asubuhi leo mida ya saa mbile nimeweka bundle 400 lakini......muda huu hakuna kitu. Sijadownload vitu vingi wala nini zaidi ya kuperuz JF lakini nashangaa. Napiga huduma kwa wateja mtambo unapokea...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Je Tanzania utajiri/umasikin viwe ndo vipimo vya kupata viongozi wetu wafuatao ni top 17 richest in Tanzania 1.Said Salim Bakresa 2.Mont oil.com 3.Fida hussein 4.Reginal Mengi 5.Rostom...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakuu salama jamani?? Hili gwanda la CDM nalipataje jamani? Huwa nikimuona kamanda Mbowe nakoma mwenyewe. Pls nisaidieni wana JF
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari kuhusu wafanyakazi wa tbc mkoani kilimanjaro ni majungu tupu ambayo yametengenezwa na katibu msaidizi wa klabu ya wanahabari mkoa wa kilimanjaro nakajumo james kwa sababu anazozijua yeye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tuna kumis,tunajua unaumwa. tumejua umuhimu kwetu na tuna omba kukusaidia matibabu. nipo tiyari kukuchangia kwenda india kwa matibabu. nielekeze wapi nitume mchango. na a hidi kuchangia sh...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wanaJF mbunge Nkamia hivi karibuni aliwachukua waandishi wa habari wa Kike kutoka Arusha(PAMELA MOLLEL NA ASHURA MOHAMED) kufanya ziara jimboni mwake,lakini mambo haya kuwa hivyo kwani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
JUMANNE, MEI 22, 2012 05:45 WAANDISHI WETU, DAR NA RUFIJI *Helkopta za polisi zatanda angani *Mali zaporwa kila kona, ng’ombe wachinjwa *Maduka, barabara zafungwa matairi yachomwa *Polisi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni mara ya pili sasa mkenya huyu akisababisha mimi kupoteza tenda kwa kupitisha maneno ya uongo na fitna juu ya uwezo wangu,kufanikisha azma yake ya kupata tenda hizo..nikiangalia uwezo ninao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo jijini dar es salaam kwa likizo yangu ya mwaka, Jana nililala katika hotel moja kubwa maeneo ya mbezi Baharini , katika Hali ya huzuni Leo alfajiri nimegundua Wamenimalima ka bastola kangu...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
The news revealed to Regional Administrative Secretaries, DEDs, and council auditors by RALG Deputy Minister (education) Majaliwa that 30bn/= from ‘radar change' will be used to buy desks in...
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Ukifuatilia vyombo vingi vya habari vya Tz km itv, chan10, tbc n.k utaona ktk taarifa ya habari kuna sehem ya habari za africa mashariki, lkn ukifuatilia vyombo vya habari vya kenya na uganda km...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…