Ujambazi Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujambazi Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Musia, May 22, 2012.

 1. M

  Musia Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Usiku wa jumamosi wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha wamevamiwa na majambazi waliokuwa na silaha na kuporwa vitu mbali mbali vya thamani kama vile simu, laptop, fedha, viatu na nguo. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba matukio kama haya ni kawaida kutokea Arusha hasa kwa miezi hii ambayo mahindi yanachanua mjini.
  Swali:1. hivi ni kwa nini mahindi yanapandwa katika maeneo ya jiji?
  Ikiwa nyumba kama 5 zinavunjwa ndani ya wiki 2 maana yake ni kwamba majambazi hawajakamatwa kwa hiyo wataendelea na kazi hiyo kwa muda mrefu zaidi.
  Nashauri
  1.polisi watumie nguvu za ziada katika hili vinginevyo Arusha itapoteza sifa yake kabisa.
  2.halmashauri ya jiji ihakikishe mazao yote marefu hayapandwi mjini
   
 2. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ni sehemu gani uvamizi huo iumetikea...?hosteli au wanakopanga huko mtaani..fafanua...mkuu..!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hili la uvamizi nimepata kuisikia hapa mjini tangu jana na bila shaka chanzo yenyewe itajulikana tu! Ni chuo cha uhasibu pale Njiro!
   
 4. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  polisi wapo busy kusambaratisha na kuua wafuasi wa chadema hukumajambazi yanatamba! mahindi sio issue kunatakiwa kuwe na doria ya kutosha na hivi vyuo havina walinzi??
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tukio hilo limetokea chuo cha uhasibu Njiro - AIA.
   
 6. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Huu ndo msimu wa UJAMBAZI arusha
   
 7. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280

  Kwa hali ya bongo. Usishangae kama hili dili limesukwa na mapolisi wenyewe. Au la mapolisi hao hao ndo wanawageukia raia usiku.
   
 8. M

  Musia Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau tatizo la Chuo cha Uhasibu Arusha hakina hostel za kutosha kwa hiyo wanaokaa ndani ya chuo ni wanawake, wagonjwa na viongozi. Wanafunzi wa kiume wote wanaishi nje ya chuo kwenye nyumba za watu ambazo ndizo zimegeuzwa hostel. Kwa hiyo zipo zenye ulinzi na zingine hazina. Tukio la jumapili siyo la kwanza maana kama wiki tatu zilizopita kuna dada mmoja ametekwa ndani ya hostel akapelekwa kusikojulikana na walichomfanya ni siri yake.
  Kwa maoni yangu chuo kingefanya utaratibu wa kujenga hostel kwa sababu eneo wanalo tofauti na vyuo kama IFM.
   
Loading...