Aliyekuwa afisa habari ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) ahamishwa mara moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyekuwa afisa habari ofisi ya taifa ya takwimu (NBS) ahamishwa mara moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOHN KITABI, May 24, 2012.

 1. J

  JOHN KITABI Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Nov 10, 2007
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali ya kuonyesha kuwa Afisa Habari wake amekuwa mwiba, Ofisi ya Taifa ya Taifa ya Takwimu ambayo inategemea Agosti 26 mwaka huu kufanya zoezi la Sensa ya watu na makazi nchi nzima limemuhamisha mara moja (WITH IMMEDIATE EFFECT) Afisa Habari wake Bi. Dorina Makaya na kumuhamishia Hazina.
  Bi Dorina inasadikika (toka chanzo changu makini toka Nbs) kuwa amekuwa akitoa siri za ufisadi zinazofanya na wakubwa kwenye ofisi ya taifa ya takwimu na kuingia mikononi mwa wanahabari!
  Hii ni kutokana na makala karibu tatu mfululizo zilizotoka kwenye gazeti la Mwananchi kuanzia jumamosi ilopita zilizokuwa zikiielezea ufisadi kwenye fedha za sensa unaofanywa na ofisi ya taifa ya takwimu- nbs
  chuwa.jpg Aliyesimama: Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS
   
 2. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Interesting.

  Kama kweli basi tumsubiri Utoh baada ya zoezi la Sensa tutafahamu mbivu na mbichi.
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  mmmm haya wee,lakini hajafukuzwa:spy::spy:
   
Loading...