Hapa ikitokea ajari nani alaumiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapa ikitokea ajari nani alaumiwe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by satellite, May 22, 2012.

 1. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ajari tu hapa.jpg

  Hii nimeona ni kali kuliko zote sijui mhandisi wa hii barabara kasomea wapi au ndo wale wahandisi wa kuunga unga maana direction ya hii kibao ilivyoweka hakuna aliyeakua anajari kama vile kiko sawa na wanaendelea na ujenzi wa barabara.hii ndo bongo bwana
   
 2. M

  Mabelana JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Dar! hapo kweli lugha gongana au kakiweka mtoto nini
   
 3. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  mhhh, ukipita kushoto imekula kipande yako!!!!
   
 4. m

  maswitule JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Watoto wa form two wamebadirisha sio mkandarasi jamani. Tumesahau enzi tukiwa form two unakuta kibao kimeandikwa NAMTUMBO wewe unabadilisha U kwenye t inawekwa O na O kwenye B inawekwa A. Ilikuwa kazi kweli kweli
   
 5. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,481
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Watu wengine hawako serious kabisa na kazi.
   
 6. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Huyu bila shaka ameishia darasa la kwanza, kwani hata kulia na kushoto hajui.

  Na tatizo amesoma shule ambayo hawana gwaride kwa hiyo mambo ya "KULIA GEUKA... KUSHOTO GEUKA... KWA MWENDO WA HARAKA MBELE TEMBEA.... SHOTO KULIA.... SHOTO KULIA...."
  Hakuyashuhudia kabisa.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 7. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Inaitwa AJALI pia tunasema ni KUJALI zingatia matumizi ya R/L..........:
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kweli huyu ni mkandarasi ama mkaanga ndazii?
   
Loading...