Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

jamani wenzenu huku mbeya hatujui hatima ya treni mana sasa lipo la kutoka dar mpaka mbeya kuendelea tunduma na zambia wamesitisha je mwisho wake ni nini mpaka sasa ni zaidi ya miezi mitatu je ule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wednesday, 23 May 2012 | Mwananchi KAMATI ya Bunge ya masuala ya Ukimwi imeelezwa kwamba ukosefu wa mikopo na uhaba wa mabweni, unasababisha baadhi ya wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Dar es...
1 Reactions
38 Replies
14K Views
Jana katika kipindi cha Jirani cha Redio Tumaini alialikwa mkurungenzi mtendaji wa ESRF ambaye ni PhD holder nafikiri kwenye maeneo ya sayansi ya jamii. Alitoa mfano mmoja mpaka mimi mwenyewe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Labda wezangu mtatowa tafsi ya halisi Missing girl ‘kidnapped for Vatican sex parties’ | The Sun |News
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana FJ, Tahadhari wanaoendesha magari Bagamoyo road na kuchepukia service road hapo Namanga. Traffik watega hapo. Wanachukua faini kwa wale wanaopita service road iliyo mbele ya Exim Bank...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
The African ProphetWhatever stance one has taken on the credibility of TB Joshua, the famous (or infamous?) pastor of The Synagogue Church of All Nation’s in Lagos, Nige ria – one fact remains...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Taarifa ni kuwa atakutana kwa faragha na vijana wa CCM wa wilaya hiyo ,kikubwa ni kuwa katika mji mdogo wa kyaka ambao ni mji wa wilaya hiyo kumekuwepo na ongezeko la vijana na makada wa CCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasanii wa TZ wamekuwa mstari wa mbele kudai ni kioo cha JAMII, wanaelimisha, kuburudisha na mengineyo. Swali inakuwaje wasanii hawa hawa wa TZ ambayo jamii inamatatizo kibao na mfumo wa utawala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni aibu kuona nchi yangu Tanzania viongozi wake wamegeuka kuwa omba omba wakati uchumi wameukalia. Fufueni reli ili sekta ya usafirishaji iliongezee taifa mapato kwa kusafirisha mizigo ya nchi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Radio mawingu inatutangazia kuwa mkutano wa chadema utarushwa live na ivt get informed accordingly.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumetokea ajali Bariadi leo asubuhi saa 12, baada ya basi la Super Najimunisa kutumbukia darajani Somanda jirani na kanisa katoliki St. John. Kuna majeruhi kadhaa, na hamna kifo so far...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
lililokuwapo ni waziri huyo kufanyia kazi taarifa zisizo rasmi alizokuwa akipelekewa na Afisa Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam ambazo ni za fitina majungu kwa ajili ya kutaka nafasi jambo ambalo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwepo na mjadala juu ya ukali wa matangazo yanayobandikwa au kutolewa na vyombo vya habari, kwamba yanakiuka maadili pale yanapotangazwaau kusikilizwa na watu wa rika tofauti au familia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waandishi Wetu Toleo la 240 23 May 2012 Mtandao wa kuwalinda ofisi ya DPP wabainika, udhibiti wafanyika Yadaiwa Ofisi ya DPP inaendesha TAKUKURU kwa mlango wa nyuma WAKATI Mkurugenzi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimegundua kuwa wafanyakazi wa Tanzania wako katika mgomo baridi(hawafanyi kazi ipasavyo).eg.walimu,wauguzi,na idara mbalimbali za serikali.mungu epushia mbali janga hili.Tafakari chukua hatua.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A THEFT case against CCM cadre Rajab Maranda and five others was yesterday adjourned to June 25, because the presiding Resident Magistrate, Irvin Mugeta, was absent. In the case, Maranda and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NINAOMBA WANA JAMII WNIELEZE KWA UNDANI HII KAMPUNI INJIHUSISHA NA BIASHARA GANI MAANA INAONEKA KUNA WATU WENGI WAMEKAMATWA AIRPOTRT YA UK WAKIHUSISHWA NAO:ballchain:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kuweka sawa Taarifa ya awali juu ya Taarifa ya msiba na ratiba ya mazishi ya Dokta Kyaruzi kama ilivyoletwa hapa Jamvini awali na Ndg. Pasco wa JF Mazishi ya Dr. Vedasto Kyaruzi...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Wana JF, lengo langu la kuuleta uzi huu ni kuwafahamu madudu wanayotulisha hawa wasichana wa kazi a.k.a Beki tatu kwa malengo binafsi, ili tujihadhari yasije tukuta kama yanayowakuta wengine...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
I salute you all! It’s all about chicken & Chips fried in transformer oil! It is Tanzania’s favorite snacks with fast service, convenient locations, and value for money! Those with extra notes...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…