Shilika la reli lapigwa ngwala na uchumi ukapinduka vibaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shilika la reli lapigwa ngwala na uchumi ukapinduka vibaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ERIC JOSEPH, May 25, 2012.

 1. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  jamani wenzenu huku mbeya hatujui hatima ya treni mana sasa lipo la kutoka dar mpaka mbeya kuendelea tunduma na zambia wamesitisha je mwisho wake ni nini mpaka sasa ni zaidi ya miezi mitatu je ule mungano wa zambia na Tanzania umekufa au ndo migogoro isiyoisha wananchi tunateseka tatizo nini
   
 2. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...70%
   
Loading...