Tanzania imekalia uchumi imeishia kuwa omba omba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania imekalia uchumi imeishia kuwa omba omba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TIQO, May 25, 2012.

 1. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ni aibu kuona nchi yangu Tanzania viongozi wake wamegeuka kuwa omba omba wakati uchumi wameukalia.
  Fufueni reli ili sekta ya usafirishaji iliongezee taifa mapato kwa kusafirisha mizigo ya nchi jirani.
  Fufueni kilimo miaka ya 1980's kuna wakulima wengi wadogo wadogo kama akina Mwamindi huko Iringa waliweza kulima mahekta mahekta lakini leo hii ardhi yao inahujumiwa na makupe weusi kwa kuwapa makupe weupe kwa mgongo wa uwekezaji huku wenye ardhi wakiishia kupewa vizawadi kama vya kuchimbiwa mashimo 6 ya vyoo.
  Fufueni bandari kwa sasa bandari inaonekana ni mfu tu unaagiza mzigo wako unalipia ushuru na kila kitu kuchukua mzigo wako unaanza kupigwa danadana.
  Fufueni sekta ya utalii tumieni wasanii kutangaza utalii wa Tanzania mtumieni Flavian Matata ni Miss Universe 2007 lakini hapa Tanzania anapuuzwa kwa wenzetu huko ambao tunategemea waje waangalie mbuga zetu wanamkubali sana lakini nchi imelala.
  Acheni kuchimba dhahabu mpaka sasa tulipo fikia wananchi wanao zunguka migodi inayo nyonya dhahabu wanajivunia kwa kujengewa vyoo na madarasa mawili labda na kadispensary ambako hata Panadol kupata ni kudra za mwenye Mungu kwa nini twendelee kuwakumbatia wanyonyaji hawa?
  Fufueni viwanda navililia Tanganyika Packers, Moprocco, Sungura Textile etc.
  Jamani nasikia kuugua gafla
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hayo mambo na mengine hakuna asiyejua tatizo la viongozi wetu wa sasa umimi mbele na utaifa nyuma!
  Kama mtu kwa account ana mpaka trillions Watz wangapi wangenufaika apo kama asingekwapua
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kwenye katiba mpya kiwekwe kifungu atae iba raslimali za nchi anyongwe hadharani mpaka kufa.
   
Loading...