Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hoja iko Mezani wana jamvi, Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya watu wakisema hakuna haja ya kuwalaumu na kuwashutumu watu waliokufa mathalan hata kwa mambo yanayoathiri wale walio hai walioachwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bvc au baraza la vijana cuf(vuguvuvugu la vijana) limepokipongeza kituo cha redio clouds fm kwa kujali kauli zitolewazo na wabunge wa wakiwa katika mijadala ya bunge.jana clouds fm imeripoti...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ninafikiri ni mwaka wa tatu tangu serikali yetu ikabidhiwe barabara ya singida manyoni to igunga,ziba,Nzega mkoani Tabora,katikati ya Sngida na igunga kuna mlima matata unaitwa SEKENKE''hAPO KUNA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Salaam. ITV kwny taarifa ya habari ya saa 12 asbh ya leo Wametoa picha ya shehe Farid aliyotangaza tarehe 26 ndo siku ya maandamano kwa maelezo kuwa UAMSHO wameendelea kushikilia msimamo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu yule aliyekuwa rais wa Misri kwa kipindi cha miaka zaidi ya 30 sasa hivi amehukumiwa kifungo cha maisha jeal. chanzo: SKYNEWS.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine Kenya imetupiga changa la macho. Wametumia uchomaji wa makanisa Zanzibar kama fursa ya kuwashawishi watalii wasiende Zanzibar ili wabaki Kenya. Ikumbukwe kwamba makanisa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndiyo wakuu kama nilivyo wajuza jana kuwa leo makamanda wapatao 50 toka chuo kikuu cha saut mwanza leo watahudhuria na kuhutubia mkutano utakao ongozwa na katibu wilaya geita,ndgu Rogerz ,diwani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mwenye data ya vyuo hivi hata kuhusu ada yao na kiasi cha mkopo walicho pangiwa na board ya mikopo naomba anisaidie kwa sim yangu ndogo haiwezi download pdf plz.vyuo vyenyewe ni _TIA,MUCOS,IAA,CBE...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Wanasiasa wanao ongoza kwa uhuni na uwenda assignor mbali na ndoto zao Kutokana na magonjwa hatari
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kero Mhariri MIMI ni dereva, nimekuwa nikitumia muda mwingi barabarani na nimeshuhudia vijana wanaofuta vioo wakati magari yakiwa kwenye foleni na wananikera mno. Wao wanachukua maji machafu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za kutekwa kwa kijana mwenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini na kisha kusafirishwa kwenda nchini Burkina Faso, zimestua na kuibua upya hofu iliyoanza kutoweka dhidi ya maisha na uhai wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizara ya Maliasili na Utalii juzi ililazimika kutoa tamko la kusahihisha habari za upotoshaji ambazo ziliandikwa na vyombo vya habari vya Kenya na kueleza kuwa Zanzibar kumechafuka na kwa maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana tumetangaziwa hapa Botswana kuwa Ng'ombe 20 mali ya rais wa Jamuhuri ya Tanzania zitaondoka leo kuelekea Tanzania,Rais Kikwete alinunua NG'Ombe 10 alipokuja hapa mwezi wa tatu kushiriki...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jana kuliulizwa swali na munir zakaria wa channel 10 "Mh rais, Chama chako kilitoa tamko kwamba waziri wa sheria na katiba ndugu Abubakar ajiuzulu. tamko hilo lilitolewa na naibu katibu mkuu wa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
KUTOKA NDANI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA-(UDOM) Taarifa za ndani ya Chuo hicho zinasema kuwa Uongozi wa Serikali ya Wanafunzi Unakabidhiwa kwa Vijana wa Kazi-CHADEMA baada ya mipango ya kuwaengua...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
*Ana miaka 119 * Alipigana Vita ya Pili ya Dunia Na Florence Majani NI saa tano za asubuhi, basi litokalo Mabibo kuelekea Posta linashika breki katika kituo cha Usalama, eneo la Magomeni. Katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-18292716 BBC News - Israel to begin migrant deportation amid rising hostility
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kasi ambayo Chadema wanakwenda nayo hakuna wa kuwazuia kwan jinsi wananchi wanavyowakubali sijapata kuona kwan wakati wa Operation ya M4C n Vua Gamba vaa Gwanda nilikuwepo Mtwara ndugu wa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Leo ndio siku ya kumtafuta mlimbwende wa tabata hapa da west park tabata watu ni wengi kuna bendi ya mashujaa pamoja na mashauzi clasic, mambo ni mazuri kwa kweli show ndo imeanza sasa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…