Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na maneno machafu yalitolewa na mchungaji huyo madaktari wamjibu na kumfundisha anthony lusekelo kuisoma biblia vizuri, kifungu cha maandiko matakatifu kinachompa daktari mamlaka ya juu...
8 Reactions
118 Replies
17K Views
Kutokana na Taarifa iliyotolewa na Polisi na Kusomwa na Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Ndg,Suleiman Kova,Inaonyesha hiyo taarifa inajitenga na ukweli! kitu hicho kilichomfanya Msomaji...
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Wandugu waungwana Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic. Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni Panasonic...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
On phone: ls this knkuxnwiqkmbmadgt Maimuna: Naitwa Maimuna On phone: iam asking txmqiknbehbknv Maimuna: Nimeseama Maimuna (talking to colleague) Maimun: mh ana kingereza kigumu. ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Angalia vituko vya Kipanya:
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Ajali ya lori lililo kuwa lime beba contena likitokea kibaha, limehama njia na kugonga tax pale ubungo stand, hata hivyo watu walio kuwa kwenye tax walipata msaada wa wasamalia wema na kutolewa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamii forum naomba nijulishwe kuhusiana na utaratibu wa uwandikishwaji wa kitambulisho cha taifa. Maana naona kama vijana umri wa miaka 18 hadi 30 wanazongushwa kweli, yaaani wakifika ofisi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nina andika kwa huzuni ya kupoteza waTanzania wenzangu kutokana na ajali ya Mv STargit.huzuni nni kubwa zaidi ukizingatia taifa lipo katika mchakato wa mabadiliko hivyo uwepo na mawazo ya kila mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii serikali inafanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja! Vitambulisho vya uraiya, sensa, katiba... itafanikisha lipi? Kwa ufanisi?
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Anaitwa Hamoud Masoud Shen kamteua Rashid seif suleiman kuchukua nafasi yake. source;radio one
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa vile watawala wa nchi hii inaonekana ni kumkomoa mtu wa hali ya chini, Basi tukubaliane hata wabunge wote wasipate mafao yao kila baada ya miaka mitano mpaka wafikishe miaka 85, after all...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Ulimwenguni kuna bilions of matukio at a sekunde. Hebu ripoti tukio unalolishuhudia sasa mahali ulipo, liwe dogo au kubwa, uwe nyumbani, barabarani, ofisini, nk. Mi hapa namwona boss wa ofisi...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Naona mvua ndogo iliyonyesha leo imeleta rabsha hapa mjini,maandaki mliyochimba yashatuama maji, nina wasiwasi sana haya mahandaki yataleta smthng unexpected zile mvua zitakazoanza muda c mrefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zoezi hili linaloendelea Dar limekua kero sana,,,,wahusika hawajajipanga kabisaa uwe umewahi au umechelewa,,,,,,ukifika unapaswa kuangalia majina ukutan,kwa bahat mbaya hayapo kwa mfumo wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Niko kijijini kwetu kwa vacation nilikuwa sijafika kwa miaka 2 nimefurahi kukuta maendeleo ambayo ni mazuri kwa mfano barabara ina kiwango cha lami hadi karibu na mpakani. Ila kilichonishangaza...
1 Reactions
80 Replies
10K Views
Wanajf. Said Mwema anafahamika kwa kusisistiza dhana ya polisi jamii na ulinzi shirikishi. Ninachojiuliza, ni kwa kiasi gani amewafanya raia wawe na imani na watendaji wa jeshi hili?, Rushwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni lini Tanzania tutaachana na kutegemea nishati kama za maji na zingine zinazoisha kama gesi na mafuta wakati tuna jua kali sana. Tanzania tuna bahati ya kuwa karibu na equator, sehemu ambayo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
USHAURI WA BURE POINTS ON HOW TO IMPROVE YOUR LIFE by Randy Pausch Personality: 1. Don't compare your life to others. You have no idea what their journey is all about. 2. Don't have negative...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…