Hebu ripoti tukio unalolis | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu ripoti tukio unalolis

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wajad, Jul 23, 2012.

 1. W

  Wajad JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Ulimwenguni kuna bilions of matukio at a sekunde. Hebu ripoti tukio unalolishuhudia sasa mahali ulipo, liwe dogo au kubwa, uwe nyumbani, barabarani, ofisini, nk. Mi hapa namwona boss wa ofisi fulani amesimama nyuma ya kiti cha ps wake akimshika mabega.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mi namuona mtu asijejua kusoma na kuandika akiwaelekeza abiria wa dar es salaam wanaorudi majumbani kwao basi la kupanda wakati basi hilo pia likiwa limeandikwa liendako.
   
 3. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mimi nakaona katoto kadogo kazuri kamejilaza kwenye kochi huku kanaimba wimbo ambao hata haueleweki.
   
Loading...