Strabag hamko mbali kuumbuka....

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Naona mvua ndogo iliyonyesha leo imeleta rabsha hapa mjini,maandaki mliyochimba yashatuama maji, nina wasiwasi sana haya mahandaki yataleta smthng unexpected zile mvua zitakazoanza muda c mrefu badae...wakazi wa pale jangwani/borrow pit jiandaeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom