Nitagombea uraisi mwaka 2015.

ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina.....
 
Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle
 
Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle

Mbona hawa watu sarakasi zimeanza mapema sana? Hadi kufika katikati ya 2014 tutakuwa tumeona na kuskia mengi sana,. MWAKATA weya we HAZOLE!?
 
Akina mwigulu na lusinde usiwasahau ktk kampeni zako wanaweza kukupaisha wanaweza kuwa kampeni meneja wako wazuri tu
 
Back
Top Bottom