Ajali ubungo

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,204
42,066
Ajali ya lori lililo kuwa lime beba contena likitokea kibaha, limehama njia na kugonga tax pale ubungo stand, hata hivyo watu walio kuwa kwenye tax walipata msaada wa wasamalia wema na kutolewa wakiwa hai japo wamepata majeraha kidogo!

Dereva wa lori ilibidi akimbie kusiko julikana kwa kuhofia kupata kichapo kutoka kwa wananchi wanao pewa sifa kuwa wana hasira.
Ajali hii imetokea mida saa moja jioni.

Shukrani zangu kwa serikali kwani kuwaondoa wafanya biashara kume epusha mengi kwani leo tungekuwa tuna ongea mengine maana lori limefungia break kule ambako wafanya biashara wlikuwa wakipanga bidhaa kabla ya kuwa ondoa.

Namshukuru mungu pia kwani wakati lori limeacha njia magari ya upande wa pili yalikuwa hayajaruhusiwa kupita.

"Mungu ni mwema wakati wote"

source: Eneo la tukio
 
Ajali ya roli lililo kuwa lime beba contena likitokea kibaha, limehama njia na kugonga tax pale ubungo stand, hata hivyo watu walio kuwa kwenye tax walipata msaada wa wasamalia wema na kutolewa wakiwa hai japo wamepata majeraha kidogo!

Dereva wa roli ilibidi akimbie kusiko julikana kwa kuhofia kupata kichapo kutoka kwa wananchi wanao pewa sifa kuwa wana hasira.
Ajali hii imetokea mida saa moja jioni.

Shukrani zangu kwa serikali kwani kuwaondoa wafanya biashara kume epusha mengi kwani leo tungekuwa tuna ongea mengine maana roli limefungia break kule ambako wafanya biashara wlikuwa wakipanga bidhaa kabla ya kuwa ondoa.

Namshukuru mungu pia kwani wakati roli limeacha njia magari ya upande wa pili yalikuwa hayajaruhusiwa kupita.

"Mungu ni mwema wakati wote"

source: Eneo la tukio

Rutta, ina maana angekufa mtu ndiyo ungeilaum sirikali iliyo na lawama kila kona!!!
 
Ajali ya roli lililo kuwa lime beba contena likitokea kibaha, limehama njia na kugonga tax pale ubungo stand, hata hivyo watu walio kuwa kwenye tax walipata msaada wa wasamalia wema na kutolewa wakiwa hai japo wamepata majeraha kidogo!

Dereva wa roli ilibidi akimbie kusiko julikana kwa kuhofia kupata kichapo kutoka kwa wananchi wanao pewa sifa kuwa wana hasira.
Ajali hii imetokea mida saa moja jioni.

Shukrani zangu kwa serikali kwani kuwaondoa wafanya biashara kume epusha mengi kwani leo tungekuwa tuna ongea mengine maana roli limefungia break kule ambako wafanya biashara wlikuwa wakipanga bidhaa kabla ya kuwa ondoa.

Namshukuru mungu pia kwani wakati roli limeacha njia magari ya upande wa pili yalikuwa hayajaruhusiwa kupita.

"Mungu ni mwema wakati wote"

source: Eneo la tukio

Asante kwa post nzuri ndugu. Je hilo lori limeingia kwenye ule mtaro? au la. Na je ni kabla ya lango la daladala zitokazo mjini kuingia stendi? au baada ya lango lile.
 
Asante kwa post nzuri ndugu. Je hilo lori limeingia kwenye ule mtaro? au la. Na je ni kabla ya lango la daladala zitokazo mjini kuingia stendi? au baada ya lango lile.
limevuka mtaro lakini tax ndio ilipigwa hadi kwenye mtaro
 
Hawa wamiliki wa malori wanaleta mchezo na usalama barabarani. Hawafungiki ma kontena na askari hawana muda kukagua au wakiona kosa wanapokea posho,
 
Hawa wamiliki wa malori wanaleta mchezo na usalama barabarani. Hawafungiki ma kontena na askari hawana muda kukagua au wakiona kosa wanapokea posho,

kontena lili kuwa ndani ya lori kama yale yanayo beba ng'ombe japo lili yumba sana lakini hali kutoka na lilikuwa halijafungwa.
 
Huwa Hawa wahusika wa Kuwahamisha wafanyabiashara sehemu Salama Ni kama Hawajali Kabisa!! Kwa sasa Stendi ya Bus Ubungo Maji kunakuwa na wafanyabiashara wengi ni eneo Hatarishi sana!! Wahusika Mpo? Jamani okoeni maisha ya hawa Wajasiriamali!!!! kwa kuwahamisha!!
 
Back
Top Bottom