Wabunge wasipewe marupurupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wasipewe marupurupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jungumawe, Jul 23, 2012.

 1. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa vile watawala wa nchi hii inaonekana ni kumkomoa mtu wa hali ya chini, Basi tukubaliane hata wabunge wote wasipate mafao yao kila baada ya miaka mitano mpaka wafikishe miaka 85, after all wanadai kazi za ubunge si kubeba zege bali kusinzia tu bila kutumia akili.Hata kama nimetumia maneno ya kuudhi sifuti maneno yangu​
   
Loading...