Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Angali Vituko vya Kipanya leo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mizambwa, Jul 23, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,059
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Angalia vituko vya Kipanya:

  kipanya%20july%2023%20copy.jpg
   
 2. P

  Penguine JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Huyu dogo nae si muda mrefu tutaambiwa LIWALO NA LIWE na atakabwa na mkenya.
   
 3. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 391
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mmmmhhhh
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,017
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  KP bana.. lol! Atafute bodyguard kabisa manake msitu wa pande unatisha
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,767
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  huyu nae ni mwanaharakati sijui kama anahitaji iterpol kumlinda
  au aende JKT kama wabunge vijana akachukue mafunzo awe fiti
   
 6. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itafata filamu ya Mwigu....teh teh
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,798
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Huyu kijana safi sana he is the best cartoonist wa taifa hili
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,105
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Kipanya is an independent thinker; sio mchumia TUMBU a' la CLOUDS!!!
   
 9. f

  filonos JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  mmuuuu naimani sasa ivi watoa KUCHA na MENO hawatakua tena wa kenya maana ote wameisha kufa kwa ajali ya Meli ya Zanzibar juzi kutakua na FILAM mpya
   
 10. M

  Mohombi Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa ni critical thinker. mie namkubali sana. ila inabidi aanze kutembea na body guards maana nchi hii haieleweki!
   
 11. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,059
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Hapo message bila shaka itakuwa imemfikia Afande Sele Kova na wote wanaohusika katika utengenezaji wa Filamu za matukio kama haya.

  Kwa hiyo ina maana Kipanya anatuambia kuwa Afande Sele yupo busy sana na kutafakari kuhusu ajali ya Meli kiasi kwamba amepumzika kutengeneza ile Filamu tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu inayomuhusu Mchina na Majambazi Wawili.

  Bila shaka ikitoka hiyo itakuwa kali sana  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 12. Babuu Rogger

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 664
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hii kesi tayari ipo mahakamni. hatuwezi kuijadili. by POT.
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  jamani! hawa wengine wanao toa hivi vikatuni ndo wanaowapeleka watu mabwepande, so, msishangae na yy kuwa ni mmoja wa watu kati ya wele wanoifanya hii kazi, sasa anatafuta vitoga wajipendekeze kumuiga iga then mabwepande! hawanaga lolote hawa ni watu wa system tu hawa wakina kipanya, hapa wanatuongopea tu!
   
 14. m

  markj JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  ni kweli! hila hawa hawa ndo huwa manyoka.
   
 15. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 752
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Tafsiri: Hii movie tayari imeingia sokoni. Hatuwezi kui-edit.
   
Loading...