MICHANGO kwa waliodhurika na ajali ya MV STARGIT iwafikie walengwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MICHANGO kwa waliodhurika na ajali ya MV STARGIT iwafikie walengwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Jul 23, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nina andika kwa huzuni ya kupoteza waTanzania wenzangu kutokana na ajali ya Mv STargit.huzuni nni kubwa zaidi ukizingatia taifa lipo katika mchakato wa mabadiliko hivyo uwepo na mawazo ya kila mtu yanahitajika sana kwa sasa pengine kuliko siku nyingine zozote.KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA


  katika majanga mbalimbali,hutokea wasamaria mbalimbali kuchangia wahanga na waathirika wa majanga hayo.mara kwa mara huwa hatupati figure kamili ya kile kilicho changwa na kilivyotumika.shime serikali muwe wawazi na muwawakilishie wahanga kile walicho saidiwa na waTanzania wenzao.


  MUNGU AWAPUMZISHE MAREHEMU WOTE MAHALI PEMA PEPONI AMINA.
   
Loading...