Msaada wa haraka pls!....nisije nikaibiwa

mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
626
Wandugu waungwana

Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic.
Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni
Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080.
touch screen and built in memory.
Huyu jamaa bei yake ni laki 5 na anahitaji hii pesa as soon as i can give him maana kesho
ana safiri nje ya nchi. Je kwa nyie mnaoijua hii kitu ni kweli naweza kulipa laki 5 sasahivi?
Na dukani inauzwaje?....Naombeni msaada wenu please! nisije kutapeliwa usiku huu hapa mbele ya shemeji yenu.
 
Mkuu acha papala... Hayo mavitu yako mengi sana.. Take time mwache aende zake.... Usije kulia... Haraka haraka..........
Ngoja waje wengine jiandae kushambuliwa kwa maana ya jukwaa ulilotumia
 
Jukwaa la siasa na biashara ya camera! Ungeipeleka kwenye jukwaa la technolojia ingekuwa safi sana.
 
Najua sana hiyo kitu....lakini nimeipost huku kwa kujua nitapata majibu ya fasta bila chenga. kama unajua naomba unifungue
 
Wandugu waungwana

Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic.
Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni
Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080.
touch screen and built in memory.
Huyu jamaa bei yake ni laki 5 na anahitaji hii pesa as soon as i can give him maana kesho
ana safiri nje ya nchi. Je kwa nyie mnaoijua hii kitu ni kweli naweza kulipa laki 5 sasahivi?
Na dukani inauzwaje?....Naombeni msaada wenu please! nisije kutapeliwa usiku huu hapa mbele ya shemeji yenu.

Mkuu, hiyo bei ni nzuri sana. Tena ni ya chini kuliko bei ya dukani. hiyo kitu ni $1300. Jiulize, ni kwa nini analiuza haraka hivyo na kwa bei ya chini hivyo?. Angalia usinunue kitu cha moto au kanyaboya ya kichina. Ni hayo tu ila specs ni Nzuri 1920 x 1080 is the best you can go
 
Mkuu acha papala... Hayo mavitu yako mengi sana.. Take time mwache aende zake.... Usije kulia... Haraka haraka..........
Ngoja waje wengine jiandae kushambuliwa kwa maana ya jukwaa ulilotumia
Sawa yako mengi...yanapatikana kwa bei gani? msaada pls!
 
Najua sana hiyo kitu....lakini nimeipost huku kwa kujua nitapata majibu ya fasta bila chenga. kama unajua naomba unifungue.

Uko sahihi Mkubwa ila kuwa mpole tu!
Bila shaka utapata majibu mazuri tu!
Jf ina kila aina ya members.
 
Mtoa mada sijui ana undugu na spika wetu? Maana anajaribu kuchanganya mafuta na maji hapo juu
 
Mkuu, hiyo bei ni nzuri sana. Tena ni ya chini kuliko bei ya dukani. hiyo kitu ni $1300. Jiulize, ni kwa nini analiuza haraka hivyo na kwa bei ya chini hivyo?. Angalia usinunue kitu cha moto au kanyaboya ya kichina. Ni hayo tu ila specs ni Nzuri 1920 x 1080 is the best you can go
Mkuu, ahsante sana! huwezi amini hii kitu iko kwenye box na hapa tulipo tumeifungua na kuitest upande wa Video na photo....bei yake alianzia laki 7 lakini nimelialianae hadi tukafika laki 5. Mkuu hii kitu inavutia usipime! i wish ungeiona!
 
Wandugu waungwana

Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic.
Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni
Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080.
touch screen and built in memory.
Huyu jamaa bei yake ni laki 5 na anahitaji hii pesa as soon as i can give him maana kesho.

Kama ni urgent saaaaana, just google it na uone bei zinarange ngapi. Otherwise nenda madukani kesho mapema u-confirm mwenyewe. If u can avoid it at all, usipende sana kununua vitu kutoka kwa watu bana..
 
Wandugu waungwana

Siku za mbeleni niliplan kununua Video Camera latest aina ya Sony au Panasonic.
Sasa leo from no where kuna jamaa niko nae hapa na anauza Panasonic aina ni
Panasonic HDC-TM300,32GB,SD Card. FULL HIGH DEFINITION VIDEO CAMERA 1920x1080.
touch screen and built in memory.
Huyu jamaa bei yake ni laki 5 na anahitaji hii pesa as soon as i can give him maana kesho
ana safiri nje ya nchi. Je kwa nyie mnaoijua hii kitu ni kweli naweza kulipa laki 5 sasahivi?
Na dukani inauzwaje?....Naombeni msaada wenu please! nisije kutapeliwa usiku huu hapa mbele ya shemeji yenu.
Mkuu Mshikachuma, muda ulioutumia kuposti hapa, ulitosha ku google na kuconfirm.
1. Cha kwanza hiyo Kamera ni ya ukweli.
2. Anayeuza hajui anauza nini ndio maana anauza kwa laki 5!.
3. Its a very good deal kwa SD HDC japo panasonic are not the best kwenye HD compared to sony!.
4. Inunue as fast as you can!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom