KIBOGOYO2010
Member
- Jan 25, 2012
- 5
- 12
Kutokana na maneno machafu yalitolewa na mchungaji huyo madaktari wamjibu na kumfundisha anthony lusekelo kuisoma biblia vizuri, kifungu cha maandiko matakatifu kinachompa daktari mamlaka ya juu.
hiki hapa
Kitabu: Biblia takatifu: Yoshua Bin Sira 38:1-15
Baadhi ya mistari inasomeka hivi:
38:1 [FONT=comic sans ms,sans-serif]Umheshimu daktari(tabibu), kwa kadiri ulivyo na haja nae, [FONT=comic sans ms,sans-serif]na kwa heshima iliyo haki yake[/FONT][/FONT]
38:2 Kwa maana ni kutoka kwake aliye juu, daktari(tabibu) alivyoupata ufundi wake, [FONT=comic sans ms,sans-serif]hata na kwa mfalme atapokea ada (consultation fee)[/FONT]
38:3 Maarifa yake daktari(tabibu) yatamwinua kichwa chake,[FONT=comic sans ms,sans-serif]naye atasimama ni mkuu katika wakuu[/FONT]
38:6 Nae(Mungu) amewapa wanadamu maarifa, ili atukuzwe mwenyewe kwa ajili ya miujiza yake
Pia Kile Kiapo cha udaktari kinasomeka hivi:
[FONT=comic sans ms,sans-serif]"Wakati nikikishika kiapo hiki, na ijaliwe kwangu kuyafurahia maisha na kazi yangu. Jamii (serikali) iniheshimu na kunikumbuka(kunitukuza) , nikiwa hai au nimekufa" Mwisho wa kunukuu[/FONT]
Hivyo tuangalie fani hii imelindwa katika nyanja zote. Asije mtu akatudhulumu kwa namna yoyote ile hasa kwa kutumia kiapo chetu kama wafanyavyo sasa.