Utaratibu wa utata katika Kitambulisho cha Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaratibu wa utata katika Kitambulisho cha Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by inols, Jul 23, 2012.

 1. inols

  inols JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Wanajamii forum naomba nijulishwe kuhusiana na utaratibu wa uwandikishwaji wa kitambulisho cha taifa. Maana naona kama vijana umri wa miaka 18 hadi 30 wanazongushwa kweli, yaaani wakifika ofisi za serikali za mitaa wanaambiwa wakalete vivuli vya vyeti vya elimu, kitambulisho cha kazi, kitambulisho cha kura, yaaani kwa kweli inashangaza. Kwani akija mtu wa makamo akaonesha kivuli chake cha kitambulisho cha kura zoezi la uwandikishwaji lake linaendelea bila kudai viambatanisho vingine. Kwa kweli inabidi tuwe macho kwa sababu hili zoezi linaweza likageuka kama zoezi la usajili wa namba za simu ambazo mwishowe zikaishia kuchangia CCM, kwa hiyo wasije wakawa wapo kwenye mpango wa kuzoretesha uwandikishwaji wa vijana ili wakati wa upigaji kura wasiwe na vigezo kwa kukosa vitambulisho vya taifa.
   
Loading...