Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hamza Aziz ndo nakumbuka IGP aliye wahi kuwajibika kutokana na uzembe enzi za mwalimu. Huyu jamaa alikua kama na mkosi vile sababu kuna kipindi alikumbwa na kesi ya mauaji baada ya kugonga mtu...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba kuhabarishwa bei yake ili nipange mipango yangu ya kijasiriamali, Natanguliza shukran,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear God, as I lay me down to sleep, relax the tension of my body; calm the restlessness of my mind; still the thoughts which worry and perplex me. Help me to rest myself and all my problems in...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwaka 1995 wakati CCM wakipendekeza jina la mgombea urais kupitia tiketi ya chama hicho katika mkutano wao mjini dodoma,marehemu baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,alionya juu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilisali sana arudi salama ili tujue nini kilimtokea kisha tuwamulike wahusika, sasa naanza kuhisi kama nata ku-reverse sala zangu; ila jamaa ndio kapona kisha kaingia mitini - jiiiiiiiiiii...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna habari kuwa hapa mbulu kuna msitu mmoja hujulikanao kama msitu wa tumati kuna mtoto wa kigogo ameununua. Inasemekana kuwa yeyr amenunua mti mmoja kwa ths 100,000 na kuiuzia shirika la umeme...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mikutano ya vyama kinzani nchini Marekani inaendelea huku tukiona wake wa wagombea wakiwajenga waume zao. Je kwetu hali ikoje? Wenzetu wanashirikiana kushinda wakati kwetu wanashiriki baada ya...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Wakati wa tukio je, Kamanda Michael Kamuhanda yupo hapo? Mwenye fimo katikati? Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda akizungumza na wanahabari leo kuhusu sababu za kuzuia mkutano...
0 Reactions
62 Replies
12K Views
! Safety at Home, on Foot, in a Car August 29, 2012 Due to the recent home invasions on a Msasani Peninsula expatriate compound in Dar es Salaam, the U.S. Embassy would like to remind...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Hapo zamani alikuwepo jamaa mmoja aliyefoji vyeti vya elimu na kutafuta ajira kisha akakamatwa. Jina la huyu jamaa ni KIHIYO. Jina hili lilipata umaarufu kama sifa kwa matapeli wote waliotumia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tarehe 8/8/ mwaka huu,niliudhuria mkutano mkubwa wa kuzindua vuguvugu la mabadiliko, almaarufu M4C hapa ifakara. Mkutano uliohutubiwa na viongozi wakuu wa chama, mwenyekiti mh Freeman Mbowe...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Wapendwa amani iwe juu yenu. Poleni na msiba. Kupitia taarifa ya ITV jana, ilielezwa na mmoja wa maafisa wa Chanel TEN kwamba mwandishi wa habari aliuawa DAUDI MWANGOSI hakuwa mwajiliwa wa Chanel...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu kilamara huwa watu wanapatwa na hili na hufkiri ni kweli kuna pesa za burbure nimeamua kumfatilia huyu mdada ili nitoe funzo kwajamii, kifupi nilipata Email toka kwa msichana huyu ananiomba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Network imekatika ghafla jamani kunani,nimejaribu kucheki M-PESA pia inazingua wengine tunaweka hela M-PESA,rudisheni network bana allah.Yaani hii nchi bana kila kitu dhaifu tu eboo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, Nawatch Aljazeera hapa about 2000 South Africa's miners wanaakutana Sasa hivi eneo la Lonmin kama muendelezo w mauaji ya wenzao. Utamu/hamasa ni jinsi wanavyopiga mchakamchaka na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tukio la mauaji ya mwandishi wa habari wa chanel ten yaliyofanywa na polisi Iringa, nilitegemea kuona au kusikia msimamo wenu kulaani tendo hilo lkn nililoshuhudia ni kauli za kujichanya, huyu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pengine historia itatuhukumu. Lakini udikteta wa aina yeyote kamwe hauwezi, na wala hautakuwa, Value: Dictatorship is not a value - YouTube Siku njema, LSM
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wachaga wapo wa aina nyingi kutokana na dilects mfano wamachame, waorombo, wahanjo wakiwoso n.k je hawa wanatabia gani kwa ujumla ni wapi walio na mafanikio kibiashara kielimu n.k tafadhali naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwenendo wa JESHI la polisi TANZANIA unanisukuma kuamini kwamba, BUNDUKI PEKEE NDIYE MTETEZI WANGU, Udhalimu na mauaji yanayofanywa na POLISI kila uchao licha ya sera ya jeshi hili kujipambanua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…