Tetesi. Mtoto wa kigogo kuhusishwa na bihashara ya kununua magogo - mbulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tetesi. Mtoto wa kigogo kuhusishwa na bihashara ya kununua magogo - mbulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Muk, Sep 4, 2012.

 1. Muk

  Muk JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 552
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna habari kuwa hapa mbulu kuna msitu mmoja hujulikanao kama msitu wa tumati kuna mtoto wa kigogo ameununua. Inasemekana kuwa yeyr amenunua mti mmoja kwa ths 100,000 na kuiuzia shirika la umeme kwa tsh 1,000,000.
   
 2. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Wajinga ndio waliwao,
  ukistaajabu ya Kikwete utayaona ya Said Mwema.
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,359
  Trophy Points: 280
  where we dare to talk openly..sasa unaficha jina lake la nini?au umesikia tetesi...
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Si umtaje tu? Ama sivyo kubali we mzushi tu.
   
 5. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ninaufahamu huo msitu, ngoja wenye data waje
   
 6. M

  Mohamed Muna New Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama huna taarifa kamili kaa kimya. Acha majungu.
   
 7. Muk

  Muk JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 552
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  R1 nadhani umeelewa
   
 8. Muk

  Muk JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 552
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  r1. Nadhani hapo poa
   
 9. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Toa details zaidi
   
 10. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Mkuu, Sishangai. hii nchi jamaa wameshajimilikisha wao familia zao na jamaa zao wa karibu. yaani sie wengine ambao hatupo kwenye system tumebaki watazamaji tu, wanahujumu tu rasilimali za taifa watakavyo kwa sababu system ni ya kwao. KWA KWELI NDUGU ZANGUNI WATANZANIA TUHARAKISHENIU KULIONDOA HILI LI ccm MADARAKANI. LIMESHINDWA VIBAYA KUTUTUMIKIA WATANZANIA.


  Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakan hili li serikali la ccm MAONGO/MAJAMBAZI/MAFISADI/WAUAJI.
   
 11. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  uwiiiii.
   
 12. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  una ushahidi wowote weka hapa ,wacha kuleta habari nusunusu
   
 13. Alagwa

  Alagwa Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani jana jioni nikiwa mbulu nimeona kwa machoyangu gari kubwa limebeba nguzo za kutosha ilikitoka mbulu nakuelekea njia ya karatu. Mnashangaa hayo mbona utata bado upo kwani kuna muwekezaji kachukuwa msitu wa ayadofa mbulu na mkataba eti umepotea
   
 14. Alagwa

  Alagwa Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mkataba huo umepotea katika ofisi za almashauri ya mbulu lakini madiwani wanahoji mbona hakujaripotiwa tukio lolote la wizi ktk ofisi hiyo lakini ikumbukwe mkataba huo aliwahi kukataa kusaini mwenyekiti wa almashauri kisa ulikuwa mbovu swali ni nani
   
 15. Alagwa

  Alagwa Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nitarudi kwa maelezo zaidi maana nina tumia simu
   
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Vitu kama hivi vinaleta hasira kweli kweli.....Kila kona wao tu.....
   
 17. m

  mbish Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  sasa mbona hujaainisha kama magogo ya msitu hayaruhusiwi kukatwa, au kuna utaratibu gan unatumika kuyapata magogo?, nataka kujua huyo mtoto wa kigogo kakiuka utaratibu upi.
   
 18. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Rizi moja
   
 19. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,345
  Likes Received: 958
  Trophy Points: 280
  Chadema will not be different, we need total education to eradict Rushwa, lazima wafungwe all those walioiba au waliofanya biashara mbaya
   
Loading...