Vodacom kulikoni mbona hatupati network wakazi wa daslam!

COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,006
706
Network imekatika ghafla jamani kunani,nimejaribu kucheki M-PESA pia inazingua
wengine tunaweka hela M-PESA,rudisheni network bana allah.Yaani hii nchi bana kila kitu dhaifu tu eboo
 
Back
Top Bottom