Naomba kuwajua wachaga kwa tabia zao kutokana na dilects. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuwajua wachaga kwa tabia zao kutokana na dilects.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by whistle blower, Sep 5, 2012.

 1. whistle blower

  whistle blower Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wachaga wapo wa aina nyingi kutokana na dilects mfano wamachame, waorombo, wahanjo wakiwoso n.k je hawa wanatabia gani kwa ujumla ni wapi walio na mafanikio kibiashara kielimu n.k tafadhali naomba minjuze.
   
 2. peri

  peri JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wote wanamafanikio kielimu coz wote walimkubali mkoloni na wamisionari.
  Kibiashara nadhani wakibosho, warombo na wamarangu ndio sana.0wamachame nadhani bado.
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  unafanya reseach uandike thesis ama?
  hamchoki tu kutujadili wajamini?
  Nyerere alikataa ukabila.
  Bora title yake itaje mkoa na sio kabila
   
Loading...