Msamiati mpya wa Kiswahili: Kova=polisi wadanganyao raia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msamiati mpya wa Kiswahili: Kova=polisi wadanganyao raia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by proisra, Sep 5, 2012.

 1. proisra

  proisra JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo zamani alikuwepo jamaa mmoja aliyefoji vyeti vya elimu na kutafuta ajira kisha akakamatwa. Jina la huyu jamaa ni KIHIYO. Jina hili lilipata umaarufu kama sifa kwa matapeli wote waliotumia vyeti na elimu bandia kumbe kichwani kweupe.....

  Mimi napendekeza, kwa hali halisi ya MAPOLISI wetu, wakiongozwa na yule Mwongo maarufu kwa jina la KOVA, hili jina lake litumike ktk kamusi za Kiswahili kuanzia sasa, kama watu waongo waongo, wanaopenda kudanganya watu wazima hata kwa mambo yaliyo OBVIOUS..... Mmeshuhudia jinsi polisi wanavyotoa matamko yenye utata kuhusiana na mauaji wanayotekeleza hapa Tanzania, hasa kwa siku za karibuni......

  Mimi Naomba kuwasilisha.
   
Loading...