Polisi wananilazimisha nibebe bunduki,

MWANAWAVITTO

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
258
220
Mwenendo wa JESHI la polisi TANZANIA unanisukuma kuamini kwamba, BUNDUKI PEKEE NDIYE MTETEZI WANGU, Udhalimu na mauaji yanayofanywa na POLISI kila uchao licha ya sera ya jeshi hili kujipambanua kuwa ni WALINZI WA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO unanifanya niamini kuwa, POLISI sii walinzi wa usalama wangu, bali ni WAWINDAJI wa usalama wangu. Ni hivi karibuni nimeripoti UDHALIMU na WIZI unaofanywa na polisi dhidi ya mali za raia, na sasa ni mauaji na mateso kwa raia.Wamenijengea imani kuwa "BUNDUKI PEKEE NDIYE MLINZI WANGU wa KUWAKABILI POLISI PINDI WATAKAPONIKABILI"
 
tunakotoka mbali tuendako ni jirani sana, kila raia atabeba kile anachofikiri kitaweza kumlinda, mauaji yamezidi
 
Back
Top Bottom