Tunajifunza nini kutoka kwa Wasouth Africa??

mnyanyaswaji

JF-Expert Member
Nov 10, 2009
478
117
Habari wadau,
Nawatch Aljazeera hapa about 2000 South Africa's miners wanaakutana Sasa hivi eneo la Lonmin kama muendelezo w mauaji ya wenzao. Utamu/hamasa ni jinsi wanavyopiga mchakamchaka na vinyimbo vyao. Hivi hapa mpaka lini?? Au mpaka tumalizwe mmoja mmoja ifike idadi ya Genocide?
 
watanzania hawajifunzi lolote sababu wengi wagumu wa kuelewa na wepesi wakusahau, siku zote waoga wanaishi maisha marefu ndivyo tulivyo
 
watanzania hawajifunzi lolote sababu wengi wagumu wa kuelewa na wepesi wakusahau, siku zote waoga wanaishi maisha marefu ndivyo tulivyo

Sure Mkuu!! Wengi watu wa kuchangia mada za matukio na sio Action taker. Tunasubiri Cinema nyingine baada ya hii Daud
 
watanzania hawajifunzi lolote sababu wengi wagumu wa kuelewa na wepesi wakusahau, siku zote waoga wanaishi maisha marefu ndivyo tulivyo

ugly-donkey3.jpg

Tatizo kubwa ni kuwa wengi wa wa TZ akili zao ni kama za huyu
 
watanzania hawajifunzi lolote sababu wengi wagumu wa kuelewa na wepesi wakusahau, siku zote waoga wanaishi maisha marefu ndivyo tulivyo

Hapo kwenye WAOGA umenigusa mkuu,

Wale waandamanaji wa Lonmin walifunguliwa kesi ya mauaji. Wanasheria mbalimbali na taasisi za haki za binadamu wamekuwa wakipinga hilo na kupelekea NPA national prosecuting authority kufuta hiyo kesi. Jana wakaachiwa

Leo wamerudia maandamano yao pale pamoja na kwamba katika yale ya mwanzo watu wasiopungua 34 walikufa kwa risasi

Funzo: hawa jamaa pamoja na serikali kutumia vitisho bado wanaendeleza maandamano yao na pia wanawataka wale waliorudishwa kazini warudi kwenye mgomo mara moja. Hatishiwi mtu nyau mpaka kieleweke

Pia pamoja na tukio la kwanza kuonesha hatari iliyopo kwa waandishi wa habari katika mazingira yale bado tumeona leo waandishi wa habari pia wakijituma kufanya kazi yao
 
Dah jamaa wanajitambua sana. Zuma nae kashakuwa Msaliti, eti hayuko tayari kuzungumzia Dispute iyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom