Daudi mwangosi hakuwa mwajiliwa wa channel ten....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daudi mwangosi hakuwa mwajiliwa wa channel ten....!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by katalina, Sep 4, 2012.

 1. k

  katalina JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa amani iwe juu yenu. Poleni na msiba. Kupitia taarifa ya ITV jana, ilielezwa na mmoja wa maafisa wa Chanel TEN kwamba mwandishi wa habari aliuawa DAUDI MWANGOSI hakuwa mwajiliwa wa Chanel TEN bali mwakilishi wao! Hivi hii imekaaje au ndo kuanza kurukana. Karibuni tuijadili hii.
   
 2. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo huelewi nini? Sio lazima awe mwajiriwa. Alikuwa anawauzia habari. Na hili ni jambo la kawaida kabisa. Hata CNN wanafanya hivyo.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,860
  Trophy Points: 280
  Haijalishi kama alikuwa mwajiriwa au mwakilishi.....suala ni kuwa ameuwawa na POLISI
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wala sio kurukana, ni kuelezea ukweli. Kama hakuwa mwajiriwa wao waseme kwua alikuwa ameajiriwa?
   
 5. m

  majebere JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,521
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Labda alikua Freelancer.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,200
  Likes Received: 10,545
  Trophy Points: 280
  Swala hapo ni "MWANDISHI WA HABARI KUULIWA NA POLISI KIMYAMA" kwisha.
   
 7. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Alikuwa mwakilishi wa channel 10, alikuwa analipwa kutokana na kila habari aliyopeleka thus why alikuwa jasiri.
  Mungu aiweke mahali pema mwili na roho yake mahali pema.AMEN
   
 8. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Channel ten always huwa CCM na dada cloudia
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sasa kama hakuwa mwajiriwa ndiyo inahalalisha kuuwawa kwake na POLISI?
   
 10. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mkuu sio kwamba wanamruka. Ukweli ni kuwa alikuwa akifanya kazi kwa kushirikiana na Channel Ten na pia akiwa mwakilishi wao pale Iringa. Alikuwa akilipwa tokana na kazi ambayo alikuwa akifanya. Kwa mana nyingine yeye alikuwa Freelancer.

  Inasikitisha kuwa wapo nae toka 2006 na bado hawakuona umuhimu wa kumwajiri. Inatoa picha ni namna gani waajiri wa taasisi mbali mbali wanavojitahidi kutumia raslimali watu kwa manufaa ya kazi zao bila kuzingatia na za mfanya kazi pia.

  Hata hivo kwa sasa hilo sio la msingi, msingi ni jinsi alivouwawa, msingi ni kuwa wao Channel Ten wametamka kuwa ni mfanya kazi wao... Na msingi kuliko yote ni kuwa haki itendeke dhidi ya damu yake iliyomwagika. Kwanza kujadilli kama alikuwa mwajiri ama lah kwa sasa haina tija.
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuuliwa ni kuuliwa tu,kuwe kinyama a si KINYAMA
   
 12. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mimi pia nilimsikia yule dada jana channel 10.akiweka usanii kuwa hakuwa mwajiliwa bali mteja wao wa habari.

  my take:channel 10 kuna kitu wanataka kukwepa kutokana na haki za marehemu za kufa ukiwa kazini,na makato ya mawakilisho ya NSSF, maana hii ni tofauti kwa mwakilishi na mwajiliwa! kuna somo la kujifunza hapa..
   
 13. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  jumamosi iliyopita nililalamika hapa jf kuwa SEBO mtangazaji wa radio Magic fm ambao ni kampuni moja na channel 10 alikuwa anaunga mkono polisi kwa mauaji ya morogoro,na kuishambulia CDM kuwa ilikuwa ndio source ,na kuna uzi nilianzisha hapa. Sasa sebo ajitokeze tena kutetea polisi maana mfanyakazi mwenzao yamemkuta just siku moja baada ya kipindi chake cha makutano kilichoponda CDM.
   
 14. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  ur totaly ryt
   
 15. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  totaly i agree
   
 16. Mzalendo2015

  Mzalendo2015 JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 1,964
  Likes Received: 2,327
  Trophy Points: 280
  katalina

  Kwenye tasnia ya habari hili ni jambo la kawaida kabisa. Hata wewe unaweza kuwa mwakilishi wa Ch10 hata leo hii kama ukipenda maadamu uwe na ujuzi wa fani hiyo.

  Tunachotakiwa kujadili hapa ni kwanini Polisi wamemwua huyu David Mwangosi tena kwa bomu. Swala la marehemu kuwa mwajiriwa wa Ch10,kibarua au mwakilishi is not an issue. Tatizo la Watanzania wanapenda kujadili vitu very minor na kuacha issues ambazo ni very seriuos which can jeopardize our Democracy and Freedom!

  Hi men, try to be serious!
   
 17. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Upumbavu mwingine bwana!

  Kwa hiyo hilo linahalalisha kuuwawa kwake..!!!!!?

  Thread za leo...ngoja tu nitoke!
   
 18. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  totaly i agree
   
 19. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 6,107
  Trophy Points: 280


  I thought hoja hapa ingekuwa ni ALIYESTAHILI KUPATA ULINZI KUUWAWA NA MLINZI regardless ni mwandishi, mpita njia, binadamu, mwananchi, mgeni, jambazi, au hata mnyama! Lets go straight to the point badala ya kumangamanga.
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Hayo Mambo mengine ya kuhoji ajira yake hayana maana sana kwetu kwa sasa, huenda hakupenda kuajiriwa ili kujipa nafasi ya kuongeza kipato huru! Inasikitisha tu jinsi alivyouwawa cold-blood! Hivi yule askari aliyemfyaatulia bomu la machozi bado yupo mtaani anavaa gwanda?
   
Loading...