Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

katikaTaarifa ya habari nimesikia juu ya ajali mbaya huko mbalizi, mbeya na watu 10 wamepoteza maisha. mbunge Mary Mwanjelwa naya amegongwa na gari lake kuungua moto.ila taarifa hii ya habari...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu,wiki iliyopita nilipost thread hapa ya baadhi ya mambo yanayotufanye tuwe dhalili na kuonekana duni mbele ya wageni wanaoishi ndani na nje ya Nchi. Kwa bahati mbaya sana thread hiyo...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Imetokea asbh leo. Basi la kampuni ya RS limegongana na lori la kampuni ya Dhandho. Basi ilikuwa linatokea Dar kwenda Bukoba ambapo Lori lilikuwa linatokea Ushirombo kwenda Dar. Chanzo ni dereva...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wanabodi hebu tujuzeni. Hapa kazini kwangu tumezoea kupokea mshahara tarehe 25 ya kila mwezi. Lakini cha ajabu mpaka leo haikulikani mshahara utatoka lini. Maelezo tunayopata ni kwamba pesa ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
MOd, naleta uzi huu kwenye jukwaa hili la siasa kwa sababu wengi wanapita hapa. Hili jambo ni la dharura, linapaswa kusomwa na wengi ili kuwaokoa na utapeli huu. Naomba usiuondoe Ndugu zangu...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Jamani kwa sisi tunaoishi dar es salaam kuna mchezo wa kamali unaitwa vyombo ambayo ukipita barabarani utakuta wamewekwa turubai na wameweka vyombo vyao kama t.v,redio,makochi,pikipiki...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati inazinduliwa kwa mbwembwe nyingi nakumbuka waliwaalika wamiliki wa vituo vya habari vya binafsi alihojiwa mzee Reginald Mengi mmiliki wa kituo cha utangazaji cha ITV na Radio One. Katika...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tumemsikia Rais wetu akilihutubia Taifa mwisho wa mwezi, kupitia vyombo vya habari vya Televisheni na redio, katika utaratibu aliojiwekea yeye mwenyewe. Baada ya kumsikiliza, tulivyomuelewa ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani nadhani imefika wakati Serikali iruhusu kufunguliwa kwa SUPER market za Madawa ya kulevya kama zilivyo bidhaa Zingine!.Ni mtazamo tu,ila huu mtazamo umekujaa baada ya kuona mateja...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna kitu kinaitwa CDA na kuna kitu kinaitwa manispaa sasa yupi kati ya hawa wawili anahusika na ugawaji na upimaji wa viwanja coz unaweza ukanUNUA kiwanja chini ya CDA na ukaporomosha kitofali at...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hapo nyuma nilikua naona posts za watu kwenye jukwaa hili wakilalamikia huduma za mabasi ya mikoani haswa mwanza, at first nlijua ni ushindani tu wa kibiashara kwasababu madai mengine yalikua kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu zangu, kuna matapeli yamneibuka yanatapeli kweli kweli. Anatumia namba 0716494277 kutapeli. Anachofanya ni kukutajia jina la ndugu au rafiki yako wa karibu. Anasema yupo kwenye semina, hivyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ni kina nan na wana husika na nin tanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jumanne oktoba 2 2012, asasi isiyo ya serikali ya haki madini inayojishugulisha na uchechemuaji, uzengezi (ushawishi na utetezi) watafanya mkutano wao wa pili wa hadhara katika maeneo ya geita...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba basi la Dar Express linaungua moto maeneo ya segera
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pendekeza jina la train mpya ya daladala iliyoaanza leo. Mimi napendekeza iitwe mwakyembe trans
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Bonyeza Viodio Zanzibar plagued by growing heroin addiction - YouTube Zanzibar plagued by growing heroin addiction Published 01 October 2012 02:18 2384 Views There are an estimated 9,000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habarini na Alasiri? Habari za uhakika nilizonazo ni kwamba asubuhi ya leo majira ya saa 2 kuna kijana mmoja (jina nalihifadhi kwa sasa)amepata ajali katika kijiji kimoja kinaitwa Ikina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…