Serikali Iruhusu kufunguliwa kwa SUPER market Za Madawa ya Kulevya ili nao Walipe USHURU,wizi huu!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali Iruhusu kufunguliwa kwa SUPER market Za Madawa ya Kulevya ili nao Walipe USHURU,wizi huu!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mdau Makini, Oct 2, 2012.

 1. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Jamani nadhani imefika wakati Serikali iruhusu kufunguliwa kwa SUPER market za Madawa ya kulevya kama zilivyo bidhaa Zingine!.Ni mtazamo tu,ila huu mtazamo umekujaa baada ya kuona mateja wanaongezeka kila kukicha,wanaojidunga huo unga wanaongezeka na wavuta Banghi wanaongezeka tuuuu!,huku kukiwa na taarifa kuwa Madawa ya kulevya ni moja ya Bidhaa yenye kuwaingizia vipato vikubwa sana wafanyaji wa Biashara hiyo.Sasa kama muuza Bagia,vitunguu,nyanyaa nk! Analipa ushuru wa bidhaa hizi ndogo ndogo kwanini basi hata hawa jamaaa Wasiruhusiwe tu ili walipe USHURU kwasababu kuwadhibiti imeshindikanaa????....Hawa ni moja ya wezi wakubwa kama mafisadi tuu LAZIMA walipe ushuru kuliingizia taifa Mapato!!.Wananichosha sana na hizi Biashara zao kubwa wanazo zifanya nyuma ya pazia tena BURE bila kulipia ushuru tena biashara kubwa huku wauza vitunguu na nyanya wakineemeka kwa kulipa ushuru...IT HURTS MUCH.!
   
 2. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  supermarket za nini mkuu?? unataka pusha akose ajira?? kwani vijana wengi wa kitaa wamejiajiri kwa ishu hizi, mie binafsi ninapoishi, nikitoka getini tu natizama kibanda cha pusha, mning'inio wowote uutakao utapata, chezeya biashara ya dhaifu weye!!
   
Loading...