Elimu ya katiba live kwa wakazi wa geita kata ya nyamalembo kijiji cha nyamalembo- katoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya katiba live kwa wakazi wa geita kata ya nyamalembo kijiji cha nyamalembo- katoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngofilo, Oct 2, 2012.

 1. Ngofilo

  Ngofilo JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Jumanne oktoba 2 2012, asasi isiyo ya serikali ya haki madini inayojishugulisha na uchechemuaji, uzengezi (ushawishi na utetezi) watafanya mkutano wao wa pili wa hadhara katika maeneo ya geita kata ya nyamalembo hili kuielimisha jamii kuhusiana na elimu ya mchakato wa katiba kwa wachimbaji wadogo wa maeneo hayo.
  Awali wafanyakazi wa asasi ya haki madini walitembelea maeneo ya wachimbaji wadogo sehemu ya magema katika wilaya ya geita.

  Watu ndiyo wameanza kuwasili taratibu katika maeneo usika....
   
Loading...