Hivi huu mchezo kamali wa vyombo barabarani dar polisi mbona hawakamati hawa matapeli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huu mchezo kamali wa vyombo barabarani dar polisi mbona hawakamati hawa matapeli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, Sep 30, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa sisi tunaoishi dar es salaam kuna mchezo wa kamali unaitwa vyombo ambayo ukipita barabarani utakuta wamewekwa turubai na wameweka vyombo vyao kama t.v,redio,makochi,pikipiki
  mabeseni,majiko.......huu mchezo watu wengi wamekuwa wakiibiwa na kutapeliwa pesa na simu......

  Cha kushangaza maeneo kama ubungo,mwenge,manzese,kariakoo na baadhi ya sehemu huwa wanachezesha huwa wanawaibia sana watu.......na hata wakiudhulumu pesa zako wanakujibu nenda hata polisi mchezo huu.....umesajiliwa na serikali.........

  Ninasema hivi kwa sababu majuzi maeneo ya mwenge nilimkuta mama mmoja analia machozi wamemla laki moja na nusu huku jamaa wakimjibu......kuna mtu amekuita hapa na hii ni bahati sibu na unataka kwenda polisi we nenda sisi hatuogopi........

  Hivi hii jeuli wanaitoa wapi?
  Na jee ni kweli kamali ya inatambuliwa na serikali?

  Hebu toeni msaada maana hawa jamaa wanatapeli watu wengi?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hii kitu ipo kila mahali.....na ni ya muda mrefu sijui kwa nini watu hawajifunzi.....kila siku lazima apatikane mtu mpya wa kulizwa.....
   
 3. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  wengine ni wageni wa mji.....huwa hawafahamu chochote....watajifunza vipi unafikili
   
 4. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  KAHAMA ndiyo imekuwa kama kwao mjini watu wanaibiwa kila leo na vyombo vya Dola vipo na wanalijua kabisa nahisi kuna uelewano kati ya polisi na hao jamaa.
  Tunaomba serikali yetu iwalinde raia na mali zao na wanaofanya vitendo hivyo wathibitiwe haraka.
   
 5. Clarity

  Clarity JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2010
  Messages: 811
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Collaboration wezi wanapiga vyombo polisi wanaimba
  Mbona kila siku ikifika jioni gari ya polisi inapitia hesabu nina hakika na hilo asilimia zaidi ya100
  Poleni Wadanganyika
   
 6. T

  Tuliwonda Senior Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwanza ndo balaa wajameni! Halafu jamaa wanakaa pale njia panda ya bugando, maskini wasukuma wawatu wamechangishana hela za kumtolea mgonjwa hosp! Wakipita tu pale kosa! Utakuta mtu kachanganyikiwa anapiga kelele utadhani kafiwa na mgonjwa wake... Huruma sana.
   
 7. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Iko siku nikiwa Mwenge kituo cha daladala hawa jamaa walimtapeli mjeshi akiwa na nguo za kiraia. Jamaa akaenda kuwachukua wenzie wawili wakarudi.
  Wale wachezeshaji walikula kichapo hadi mmoja wao akang'olewa meno na akazimia palepale kwa kichapo.
  Jamaa washenzi sana halafu wanatapeli katikati ya miji mchana kweupee!
   
 8. toto zuli

  toto zuli Senior Member

  #8
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  daa hapa kariakoo shule ya uhuru....wanachezaga tena karibia na kituo cha polisi.....:high5:
   
 9. toto zuli

  toto zuli Senior Member

  #9
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  daa hawa jamaaa hata mimi nilishapitaga nikashuudia tena ilikuwaga siku mbili kabla ya sikuku ya iddi........:dizzy:
   
 10. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  umeona eheeee
   
Loading...