Ajali Ajali mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali Ajali mbeya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by great vision, Oct 2, 2012.

 1. g

  great vision Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  katikaTaarifa ya habari nimesikia juu ya ajali mbaya huko mbalizi, mbeya na watu 10 wamepoteza maisha. mbunge Mary Mwanjelwa naya amegongwa na gari lake kuungua moto.ila taarifa hii ya habari haijasema juu ya hali ya mbunge huyu, wanajf Mbeya tujulisheni juu ya hali yake.
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni mbunge kwa tiketi ya chama gani? weka picha kabla ya kutoa rambirambi.
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,390
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mungu bado ana maksudi yake kwa mama huyu maana amerokoka
   
 4. smallvile

  smallvile JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 392
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  hata wale wameokoko nao wanapatwa na majanga, tushukuru kwamba anapumua labda ndo Mungu anampa wakati wa kufanya mambo makubwa mabadiliko
   
 5. g

  great vision Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  Viti maalum CCM-Mbeya
   
Loading...