Sisi wakazi wa dodoma tuwajibike kwa nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sisi wakazi wa dodoma tuwajibike kwa nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchafukobe, Oct 3, 2012.

 1. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  kuna kitu kinaitwa CDA na kuna kitu kinaitwa manispaa sasa yupi kati ya hawa wawili anahusika na ugawaji na upimaji wa viwanja coz unaweza ukanUNUA kiwanja chini ya CDA na ukaporomosha kitofali at the end of the day manispaa wanakuja kuiweka X nyumba yako

  au unaweza kununua kiwanja chini ya manispaa CDA wakakwambia ubomoe

  so kwa yeyote mwenye kufahamu naombeni kueleweshwa zaidi kuhusu kazi za kila mamlaka (CDA vs manispaa) maana naona hakuna separation of duties kati yao#
   
Loading...