POLISI na FFU KAMA HAWA WANASTAHILI KUWAJIBISHWA AU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

POLISI na FFU KAMA HAWA WANASTAHILI KUWAJIBISHWA AU?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Oct 2, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Polisi kama hawa wanastaiki kuwajibishwa au baada ya kufanya kazi yao hiliyo waleta uwanjani wanapiga picha wachezaji ni mapenzi au ukosefu wanidhamu za kazi. Je polisi wa ligi kuu pale Uingereza wanaweza kufanya hivi. Tena hawa ndo wanaoaminika kuwa ni wakari zaidi ya pilisi wanawaita FFU.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. k

  katalina JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza hakuna POLISI na FFU, wote ni POLISI. Kama walipangwa ulinzi na wao wakafanya hayo ni makosa. Hata hivyo POLISI kama chombo cha ulinzi na usalama na wao huwa wanachukua picha za matukio kwa kumbukumbu zao. Lakini pia si kila kinachofa nywa na Uingereza lazima na sisi tuige.........
   
 3. OMBUDSMAN mtoto

  OMBUDSMAN mtoto Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ASTAGHAFLAH! Baada ya uchunguzi wa kina hasira zangu zimeshuka kwa kugundua kuwa kipato kidogo + elimu ndogo ya hawa makamanda wetu ni mkanganyiko na chukizo kwa raia na Mungu.

  Yaani alipojaliwa tu kupata simu yenye Camera 2.0 pixels lazima umma umuone kuwa naye ana uwezo mkubwa na pia hajaachwa nyuma na teknolojia ya kiganjani.

  Kuanzia sasa wanaoingia jeshi lolote inabidi wawe ni form six (wenye div I, II & III) basi na wajiunge na kozi iwe ni ya Diploma ya miaka miwili. Pamoja na masomo mengine wajikite katika Ulinzi na usalama, Sheria, Uraia, Haki za Binadamu, Huduma ya kwanza, Majanga, Uongozi na Weledi kazini, Michezo n.k
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hii nayo ni thiatha?:bolt:
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kilamtu anastahili kufanya kazi lakini sio kilakazi itafanywa na kila mtu
   
 6. a

  adolay JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Inaonesha nakuthibitisha kwamba bila chokochoko za polisi kwa raia, amani hutawala na

  kazi kwao hua kama hakuna bali
  utulivuuu..... kiasi kwamba mpaka wanajisahau.
   
 7. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hivi bongoland tuna police kweli au tunadanganya humu jf???
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hivi Tanzania kuna Polisi? Mimi naona kama ni genge la wauaji linaoongozwa na Serikali ya Dhaifu
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 10. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania wanapiga kura kama vipofu, halafu wanalalama kama vichaa! (Generali Ulimwengu 2011)
   
 11. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wale walomkanyaga kanyaga Mwangosi hadi mmojawapo kumlipua matumbo wapo nje wanapeta ije kua huyu anayejipigia picha wachezaji anaowapenda?
  Mwacheni apige zake picha bana. Hii ndio Bongo.
   
Loading...