Wasira aibu ya hili ipo wapi?

Mkulia

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
375
95
Ni jana Stephen Wasira alisikika kupitia vyombo mbalimbali vya habari akiwakana hadharani watoto wa kaka yake kuwa eti siyo binti zake. Sababu kubwa ya kuwakana huko ni pale Dr. Slaa alipotangaza jana yake kuwa mabinti wa mwanasiasa maarufu nchini wamejiunga na CHADEMA. Je Wasira,kuna aibu gani kwako kwa binti zako kujiunga na chama cha upinzani? Na je,ni kweli kuwa watoto wa kaka au ndugu yako siyo watoto wako? Hivi ukitengeneza "FAMILY TREE" ukianza na wazazi wenu,watoto wao(yaani wewe na kaka yako) na kumalizia na watoto wenu(wewe na kaka yako) bado hao hao hawatakuwa sehemu ya familia yako? Licha ya hayo nimekushangaa zaidi pale ulipomwambia Dr. Slaa kuwa suala la mabinti hao kujiunga na CHADEMA siyo hitaji la watanzania kwa sasa. Je,wewe kutoa kauli hadharani ya kuwakana binti zako ndiyo hitaji letu watanzania kwa sasa? Tunaomba sana mh. Wasira punguza kukurupuka.:nono:
 
Naunga mkono mia kwa hoja yako. Tukirejea msuguano kati ya Mh Mkapa na Nyerere family utaona ni kwa namna
gani CCM wanaongea bila kureason.
 
Hawa jamaa wanakurupuka. Mbona hao mabinti walisema wenyewe kuwa huyo mzee wanamuita baba mdogo? Sasa alikuja kwenye media kufanya nini?
 
Ndo tatizo la baadhi ya wanasiasa kutumia masaburi kufikiri, ina maana hata wangekuwa watoto wake wa kuzaa angewakataza kujiunga na chama cha siasa wakipendacho, na je huu siyo umangimeza?
 
hata kama ni watoto wa kaka yake ni WATOTO WAKE PIA, ANATAKA KUSEMA ANAWEZA KUOA HAO??
 
Ubongo wa nyani ni mdogo(interms of development na size pia)......msimseme sana.......

.....REVOLUTION IN PROGRESS........do not disturb!!
 
Duhh,ubongo wa ny,,,,, ni mdogo!

Mkuu hata evolution hukupitia pitia....we soma tofauti yetu sisi binadamu na wanyama interms of brain size,development and complexity...unaniangusha chief...!!!
 
Back
Top Bottom