Kwa anaejua hili

MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
856
494
Hi wana jamvi !
Ni pande zipi kwa hapa Dar wanapiga rangi magari vizuri na kwa bei nafuu ??
Kwa anaefahamu naomba anijuze pls!!
 
Kuna jamaa anapiga vizuri sana ana garage yake maeneo ya kinondoni anaitwa Nicas. Cheki nae.
 
mie bana kuna dogo anafanya kazi pale Hyundai..huwa namtoa nje ya office aananifanyia nyumbani, yani dogo no mtata lakini pia bei inakuwa ya kishikaji.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom