kipindi cha Bango na picha za waliokufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kipindi cha Bango na picha za waliokufa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makene, Feb 15, 2012.

 1. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tunapoona picha za chereko tunaona matukio ya karibuni ya wahusika, bila shaka hii inajenga taswira ya tukio hususa.
  Ninaona tatizo pale wale waliokufa picha zao zinazotumika ni zile zinazoonyesha mazingira ya kazi au elimu.
  Ili kuweka uzito kwenye tukio la kifo, natamani picha zinazotumika zingekuwa ni zile zinazoonyesha matukio yaliyopelekea msiba, au picha zao za siku za mwisho.
  Nasimama kukosolewa.
   
 2. papason

  papason JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Alooo natamani nikutandike rungu moja tuu la kichwa adi ufe! Alafu hiyo ndiyo iwe picha ya kwanza kuonyeshwa live tbc....
   
 3. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hahhahaha!!!!dah!we mtu umenchekesha!hahhahhaha!!!ila kweli mwanzisha uzi anazingua!
   
 4. JS

  JS JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :shock::shock::shock:
   
 5. S

  Strategizt Senior Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Duh hivi uko serious au ulitaka kusema nini? mfano mtu kapata ajali unataka ile picha ya ajali iliyopelekea kifo chake ndo iwewekwe au!!!
   
 6. Mghoshingwa

  Mghoshingwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kwanza mimi sioni sababu ya kubandika picha za walinkufa kwenye tv. Ni utamaduni wa ajabu sana.
   
 7. L

  LISAH Senior Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikili inasaidia pia kutangaza kifo cha huyo mtu kwa wale waliomfahamu akiwa hai
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  fikiria kwanza kabla ya kupost.....hapa sio lazima kuanzisha thread..unaweza ukawa mchangiaji tu!
   
 9. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,370
  Trophy Points: 280
  sawa tumekuelewa. Usiku mwema.
   
 10. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Ki biblia ni dhambi kama zingine zote..tena inaleta laana! if we will start this topic ignorant people may come out ignorantly to defend..while they are christian

  It is boring..ikifika muda huo ninabadili channel..
   
 11. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mleta mada sijaona mantiki yoyote ya uliyoyaandika maana hakuna binadamu yoyote mwenye akili zake akaweka picha ya ndugu yake wakati alipokuwa mgonjwa labda kama wewe una la ziada ili kushawishi watu wakubaliane nawe
   
 12. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  Utaratibu huu uliletwa na Mhando...pengine huko Ulaya ni kawaida, lakini si kwetu.Ni sawa na utaratibu wa kuchukua picha za video wakati wa misiba; nimeshindwa kuelewa mantiki ya kuchukua picha za video wakati wa misiba. Kwa ajili ya nini? Kumbukumbu au?
   
 13. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Sawa mtoa mada umaarufu uliokuwa unautafuta JF umeishaupata,kalale sasa!!
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha kama ukitaka kujua serikali ya Tz inapenda sifa kwa watu msiokuwa viongozi na kusimamia sheria jaribu kitu kama hicho
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wa ajabu wakati siku hizi watu kwenye mazishi wanapiga matarumbeta
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Weka kifungu kinachokataza
   
 17. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mi nadhan picha ni bora waendelee kuwa za enzi za uhai wao coz utambulisho kuwa mwenye pic ni marehem huwa unakuwepo.
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  walahi umenichekesha mpaka mtoto alieko tumboni karuka lol,asa umtandikie nini!?
   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  mweee! Makubwa haya
   
 20. F

  Funge JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 585
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hongera! Vipi umeshamtafutia jina? Usiache kumwekea zile nyimbo nzurinzuri na kumsomea vifungu vya biblia.
   
Loading...