Basi lagongana na lori, laua watu (Ngogwa wilayani Kahama) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi lagongana na lori, laua watu (Ngogwa wilayani Kahama)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanaweja, Oct 2, 2012.

 1. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa taarifa nilizozisikia kutoaka ITV si muda mrefu kuna ajali imetokea kijiji cha Ngogwa wilayani Kahama basi kutoka Dar kuelekea Bukoba limegongana na lori na limeua watu 4 papo hapo na majeruhi kadhaa.

  Tunaomba mlio karibu na tukio mtujuze zaidi
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  hapo red/bold ni wapi?
   
 3. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,339
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Ni Kagongwa nadhani na sio Ngogwa kama mleta thread hii alivyoandika. Hii sehemu iko Km chache toka Kahama mjini. RIP marehemu wote na POLE wafiwa.
   
 4. M

  MALAGASHIMBA Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Pia kijiji cha Ngogwa kipo,km chache kutoka Kahama kuelekea Bukombe
   
 5. M

  MBURE Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeenda eneo la tukio , panaitwa Ngongwa km15 kutoka kahama mjini kuelekea Rwanda-Burundi-Ngara-Bukoba.

  Basi limegongana na sem, Kulingana na habari za mashuhuda basi lilikuwa linatoka Dara kwenda Bukoba. Lililala Kahama mjini na saa 12:00 lilitoka kahama kuendelea na safari. Hapo ngongwa semi ilikiwa ilyokuwa inaelekea kahama lilijaribu kumkwepa mtu aliyekuwa amebeaba mkaa kwenye baiskeli ndo ikabana upande wa basi na kuparua upande mzima wa dreva . Watu watatu wemekufa palepale akiwemo dreva wa semi na zaidi ya watu 15 kujeruhiwa vibaya hasa wamekatika miguu.  02102012090.jpg 02102012089.jpg 02102012088.jpg 02102012087.jpg 02102012086.jpg
   
 6. m

  maswitule JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,385
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  RIP All, nadhani hawa ndugu wanaondesha baiskeli inatakiwa kuwe na utaratibu maalum kwao kwa matumizi ya barabarani. Maana mara nyingi wamekuwa wakichangia ajali hasa mida ya usiku magari yanapopishana.
   
 7. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu asante kwa kutupia picha. Innalilahi wainnailaihi Rajiun-Hakika kwake tutarejea. Kwa wafiwa poleni sana.
  Naona ni basi la RS ambalo kama sikosei mwaka juzi au jana liliua watu zaidi ya 10.
   
 8. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  wilayani kahama na Ngogwa si kangongwa
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dah nimesikitika sana RIP marehemu wote na poleni majeruhi na wafiwa.....!!!
  MUNGU ATUSAIDIE.................!
   
 10. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  tatizo la tanzania main raods zetu zinatumika kwa wenye baiskel, mikokoteni, etc . nchi za wenzetu hakuna main road amabayo inauchafu wa aina kama hii na hili linatokana na kukosa palnning za sehemu gani ni muhimu kwa watembea kwa miguu, baiskel, mikokoteni, etc. ndio kunakomaliza maisha ya watu wengi. turnroad wanatakiwa wategeneze barabra wakiujua kuna huduma zingine nje ya magari
   
 11. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu usukumanini balaaa, maana hata mijini kuna punda,ng'ombe, matorori,baiskeli, pikipiki,watu vyote hivi vinatumia barabara moja
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mkuu usukumanini balaaa, maana hata mijini kuna punda,ng'ombe, matorori,baiskeli, pikipiki,watu vyote hivi vinatumia barabara moja
   
 13. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  asante kwa hizi taarifa zinazoeleweka.
  Mkuu tatizo hili sio usukumani tu bali ni uelewa mdogo tuliokuwa nao watanzania wote. Fikiria hata miji mikubwa kama Dar es Salaam. Unakuta katikati ya mji na kwenye the so called highways kuna vitu vyote hivyo ulivyovisema, tena mbaya zaidi kuna yale maguta ambayo yanashindana na magari utafdikiri navyo ni vyombo vya moto!
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  poleni sana wafiwa na majeruhi pia....
   
 15. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Poleni wafiwa na pole kwa majeruhi wote.
   
Loading...