Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ruvuma katika kata ya Mletele Manispaa ya Songea, nako wafuasi wa vyama hivyo walichapana kwa mapanga na fimbo na kusababisha zaidi ya watu watano kujeruhiwa wakati wa kufunga kampeni za uchaguzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Qur an kukojolewa na kudhalilishwa tena Jumuiya na taasisi za Kiislam zimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kukojolewa na kudhalilishwa tena kitabu kitukufu...
3 Reactions
104 Replies
10K Views
yaani ofa hii ni ya kisanii sana.ukijiunga utasikia 'namba unayopiga haipatikani' halafu kuanzia juzi siku ya iddi unaambiwa haipatikani. Mnaweka ofa za nini kama hamuwezi kihandle...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali Mkoani Iringa imeifungia na kuinyanganya kampuni maarufu ya Mohammed Enterprise kufanya biashara ya mbolea mkoani Iringa. Sababu kuu ya serikali ya mkoa kuchukua hatua hiyo dhini ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani mungu wa ajabu only democratic state ndio kuna hurricane sandy why ?God knows .Maji kebebe .
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Dk. Ramadhani Dau ni msanii, anaongea utafikiri yuko Marekani.Eti ILO iliweka standard ya malengo ya mafao. Tanzania ajira ni maghumashi, sekta binafsi ni mbovuu..... unyanyasaji na ajira za...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Jumapili hii nimekamilisha utafiti wangu wa awali kuhusu vurugu zilizotokea Mbagala hadi kufikia hatua ya kuvamia kituo cha polisi na hatimaye kuvunja makanisa,kuiba na kuchoma baadhi ya maknisa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Wilbroad Slaa – Hii Ndiyo Fact Check Sahihi na ya Wazi WAHENGA waliamini kuwa tabia na hulka ya binadamu haibadiliki hata akiwa na umri mkubwa kiasi gani. Chukulia mfano wa Katibu Mkuu wa Chama...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Mon, Oct 29th, 2 Tanzania / Tourism News | A local investor is planning to set up a luxurious fivestar hotel at Ryamakabe Island near Kinesi village in Rorya district, Mara region, an official...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi huu utaratibu wa kila halmashauri/municipal kujiwekea viwango tofauti tofauti vya maegesho ya magari wanatupeleka wapi?? mbona hatujulishwi vizuri dhana hii au ni yaleyale? nauliza hivi kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakala amepewa pesa atume kwenye namba f'lani, aliyempa akishuhudia, baadae...aliyetumiwa hajaona chochote, wakala? Anadai kwake salio limepungua hivyo pesa ilikwenda, SMS ya ushahidi? Hakuna...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Abiria wanao safiri na greenstar kutoka Dar kwenda Mwanza mpaka muda huwa wamekwama Chalinze polisi halafu hakuna juhudi zozote zinazofanya kuwakwamua hapo.Kama biashara ya wakati ule ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu heshima sana, Mtunza Ikulu Ndogo mstaafu (Mama Lucy) wa Arusha amefariki na anatarajiwa kuzikwa siku ya jumatano katika makaburi ya Njiro jijini Arusha. Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
The major opposition party has censured the government for allegedly failing to bring to justice government officials and game officers behind the killings of thousands of elephants in the...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Auawa kwa kuiba mabati ya ujenzi wa msikiti Na Sonyo Mwenkale Wananchi wa Kijiji cha Kwankonje Kata ya Kwankonje wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, wamemuua mwanakijiji...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu wanaosadikiwa kuwa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wamefanya vurugu katika kituo cha polisi kilichopo Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani cha mjini hapa na kusababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasemekana watu waliovunjiwa Nyumba nakufukuzwa maeneo ya Madale Nakasanga"B" Wameonewa na wafanyabiashara waliodai wamevamiwa maeneo yao, kumbe waliowengi maeneo siyo yakwao na wengi wao ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, kwa muda mrefu nimekuwa nikitafakari juu ya majina haya ya miezi katika miaka na sijapata jibu , kupitia jukwaa hili la wana Jf najua nitapata majibu. utata wangu katika miezi...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Hii nimeipata kwenye Wikipedia:- Uchawi - Wikipedia, kamusi elezo huru Uchawi ni nguvu za giza zinazotumiwa na jamii nyingi, hasa za Kiafrika, kwa ajili ya mtu kuumiza watu wengine kimazingara...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni baada ya kupata usumbufu wa traffic polisi kudai sticker za fire pamoja na kuonyesha mtungi wa fire extinguisher niliamua kwenda kupeleka mtungi ule kukaguliwa ili nipate sticker...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…